lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu rapcha - apeche

Loading...

[intro]

mif~koni apeche

moyoni raha

na maisha yanajipa bwana

last king of 90’s baby

gachi waoneshe

[verse 1]

mambo yanakwama tunaforce ahaa

njaa noma inaeza kukucost ahaa

mwili unapungua vipi msosi!? ahaa

ilibaki kidogo nikate dreadlocs ahaa

mhhuh life is beautiful ahaa

ukipewa nguvu hukosi majuk~mu ahaa
hela yangu ya kwanza iling’arisha home ahaa

hela yangu ya pili naongeza home hahah

[bridge]

komaa

weka hustle utahamia kwenye mansion

piga kazi fresh be patient

komaa

kuna crown ukizivuka temptations

kesho utaenjoy kwenye penshen

komaa

wakizima data ofcoz waoneshe

jah ndo ameshika connection

komaa
hata kama mif~koni ni cheche apeche

ila kwenye moyo celebration

[chorus]

mif~koni apеche

moyoni raha

na maisha yanajipa bwana

mif~koni apeche

moyoni raha

na maisha yanajipa bwana

[verse 2]

na sijui vingi kwasababu najua vingi

na najua vipi vya ku keep
nikichеki deep naona jinsi vitu vinapanda bei roho zin~z~di kuwa cheap

no no sleep sleep mi naforce money

mi i don’t worship worship money

fresh kwenye roho ninaset tu plan

kutowezekana ndio haiwezekani

[bridge]

komaa

weka hustle utahamia kwenye mansion

piga kazi fresh be patient

komaa

kuna crown ukizivuka temptations

kesho utaenjoy kwenye penshen

komaa

wakizima data ofcoz waoneshe

jah ndo ameshika connection

komaa

hata kama mif~koni ni cheche apeche

ila kwenye moyo celebration

[chorus]

mif~koni apeche

moyoni raha

na maisha yanajipa bwana

mif~koni apeche

moyoni raha

na maisha yanajipa bwana

[outro]

mi i don’t stop

i know everything don’ come easy


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...