lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu rapcha - 40 missed calls

Loading...

[verse 1: rapcha]

someone is playing with me

kuna mtu ananichezea

someone is playing with me

nashuka kiuchumi ndoa yangu inachaf~ka

kuna mchezo unaendelea they are playing with me

muda mchache kwenye ndoa maumivu yamenizidia

huu ni mwezi wa tano unaingia

nkitazama muda ni saa sita usiku, baada ya k~mtafuta sana huyu mwenzangu ndo nyumbani anaingia

niambie umetoka wapi salma

hii kesi isidingo si tumetoka kuisolve jana

isingefika 40 missed calls ka ulikua kwa mama

nakuambiaga huniheshimu salma unanidharau sana
story zako mjini naambiwa

hamna kitu kinaniuma kama habari kwamba mi namegewa

unanipandisha hasira navokuambia ukweli afu unanijibu kwa kufoka kama unaonewa

hebu leta simu yako, fungua!!!

salma usinipandishie, icho kiburi chako ntakupasua

naichukua nianze kuipekua akaja kuikwapua

akili ikaflip, gun nkanyanyua

salma kanijia juu, nimechoka maisha ya kubaniwa

bora tu tuachane umezidi kunitishia

story za malaya wako nikikuambia unajifanya mkali

kama we kidume fyatua..

gun shots!!

[chorus: vanilla]
nilikupenda mpaka kufuru nikawa nawaza jidhuru ukiwa mbali

tena nikakupa uhuru na ukashindwa shukuru ikawa ndo dosari

ukaenda ku date na wale

mi wakuwa nasota we ule

na mie kukuacha siwezi

ni bora dunia tuiache aah

[verse 2: rapcha]

fahamu zinarudi akili imeduaa

salma anateseka chini baada ya risasi nne k~mvaa

hofu kubwa inaniingia nikiangalia

damu yake inavyonililia chini inatapakaa

ndo idea ya kukamatwa ikanijia

nikajua haitopita muda mapolisi watanitimbia
ila nguvu zote zishaniishia

nikiumia kuona safari yetu ya mapenzi ilipokwamia

dhambi inaanza kunitafuna

natamani nirudishe muda nyuma niongee na salma

najiona mnafki kwa k~mwaga damu kwa makosa ambayo moyoni najua kuwa na mimi nafanya

itanitesa maisha yangu yote hii memory

ego zetu zimefanya tumeharibu destiny

vita na insecurities hakukuwa na honesty

na loyalty marafiki wakatunyima privacy

litimie agano

nahisi mungu ametuchagua mi na wewe tuwe mfano

salma, hukustahili hii adhabu ninakiri

naomba kabla haujafika mbali nisubiri

gun shot!!

[vanilla]

roho yangu inauma

kosa lako kuzichezea hisia zangu

inamaana hukuona

nilivyopambana kuziheshimu hisia zako?

aaah

[chorus]

nilikupenda mpaka kufuru nikawa nawaza jidhuru ukiwa mbali

tena nikakupa uhuru na ukashindwa shukuru ikawa ndo dosari

ukaenda ku date na wale

mi wakuwa nasota we ule

na mie kukuacha siwezi

ni bora dunia tuiache aah


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...