lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu rambatayo - kama 2pac

Loading...

[intro]
yoh
aii aii
aii aii
(mi nadai tu kuzoza kama tupac
mi nadai kuzoza kama tupac)

[chorus]
mi nadai tu kuzoza kama tupac
mi nadai kuzoza kama tupac
mi nadai tu kuzoza kama tupac
ukiskia nikiroga manze buda ni ki~boom bap
mi nadai tu kuzoza kama tupac
mi nadai kuzoza kama tupac
mi nadai tu kuzoza kama tupac
ukiskia nikiroga manze buda ni ki~boom bap

[verse 1]
mi nadai tu kuzoza kama tupac
left to the right kila mtu anabanjuka
huwezi leta ujinga juu, utajuta
hata ukuwe wapi si mi nitakukuta
na si mchezo niko sharp kama shoka
lines ni moto, hadi beat inatoka
mi hu~spit, juu ni ganji inabonga
wanasema “rambatayo, we ndo donga!”
[verse 2]
niko kwa grind manze buda siezi back down
mi ni solid ka stone, manze huwezi knock down
flow ni fresh hadi oldies wana watch out
niki~drop lines, ghost writers wana run out
na si flex, niliku~show niko top n~gga
hawa ma~newbie wameshindwa joh ku~configire
wanashinda tu kwa dm wanadai feature
guess what? i’m the real n~gga!

[chorus]
mi nadai tu kuzoza kama tupac
mi nadai kuzoza kama tupac
mi nadai tu kuzoza kama tupac
ukiskia nikiroga manze buda ni ki~boom bap
mi nadai tu kuzoza kama tupac
mi nadai kuzoza kama tupac
mi nadai tu kuzoza kama tupac
ukiskia nikiroga manze buda ni ki~boom bap

[verse 3]
wannabe huwezi be like me
bigman g, wananiitaga mvp
step like me, ndio uwache kuni~envy please
really? unadai tu ku~beef na mi? ok
manze buda sitaki ngori gee
but, si ka unadai ulete hiyo mbogi please
na, niliku~show nani top kwa shii
nani mwengine manze buda anaifanya ka mi?
[verse 4]
na ukileta ufala unachuja
ngwai mi na~set, si inatoka juja
ni~call ama ni~text baadaye nitakuvutia
sometimes unani~mess, na niko mapilka
guess leo nani chef, kwa stu~
we umeshinda umejiweka tu
basi kila mtu mkono juu
turuke tu twende, hivyo tu

[chorus]
mi nadai tu kuzoza kama tupac
mi nadai kuzoza kama tupac
mi nadai tu kuzoza kama tupac
ukiskia nikiroga manze buda ni ki~boom bap
mi nadai tu kuzoza kama tupac
mi nadai kuzoza kama tupac
mi nadai tu kuzoza kama tupac
ukiskia nikiroga manze buda ni ki~boom bap


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...