lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu rambatayo - huu ni nani

Loading...

[intro]
(this is soundwave innit!)
(aii aii) yoh
(huu ni nani?)
skia (aii aii)
huu ni nani? (k’ on the beat)
niki niki niki~step out kwa scene
wanauliza huu ni nani
niaje rayo unaifanya tu vikali
aii aii

[chorus]
niki niki nikistep out kwa scene
wanauliza huu ni nani
niaje rayo unaifanya tu vikali
drip toka juu hadi chini ni ma~nike
cologne ni ya versace perfume ni ya warachi
niki niki nikistep out kwa scene
wanauliza huu ni nani
niaje rayo unaifanya tu vikali
drip toka juu hadi chini ni ma~nike
cologne ni ya versace perfume ni ya warachi

[verse 1]
beat inagonga kwa ma~speaker ikichuna
na kingwelo tushaseti kwa mongo zishalipuka (aii)
niko cloud nine sidhani zitashuka
na vile najitepa si kichwaa ita ruka
manzi ni poko na coochie jooh inanu~ (aii)
pochi la biashara alifungua du~
mi si metro but hii doba mi naisu~
wanasema rayo sare trap uanze kapu
[verse 2]
bigman, bazu mi ni mziza
daktari mi huwatibu ile zabe inawatatiza
nawafunza na bado wanaona giza
rayo mi ni mpishi hizi doba mi napika
skiza, sihitaji panadol
ngwai kw~ngu buda ndo hukua joh pain k!llеr(aii aii)
sikatai manzi yako ameiva
lakini tabia zake buda joh ni za kijinga

[chorus]
niki niki nikistep out kwa scеne
wanauliza huu ni nani
niaje rayo unaifanya tu vikali
drip toka juu hadi chini ni ma~nike
cologne ni ya versace perfume ni ya warachi
niki niki nikistep out kwa scene
wanauliza huu ni nani
niaje rayo unaifanya tu vikali
drip toka juu hadi chini ni ma~nike
cologne ni ya versace perfume ni ya warachi

[verse 3]
hakuna beshte yangu anakaa ujinga
esther alikuwa black ‘n’ broke na sai anaringa
ati skiza message buda joh aii i’m the preacher
wanaskiza juu mi ndio adi ticha(yeah)
rada buda bizz ilijipa
nipee miaka mbili utanispoti na mamita
na~bling jinga jinga na ngoma zimejaa tu mirista
(ati ngoma zimejaa tu mirista)
[verse 4]
alicia kanini anaweza meza metre
na kaa unang’am hio story basi unafaa jesus
akona kinini na anaitwa kanini
anapenda manini na venye ye ni (ohh)
mistari zangu buda joh ni za kizing
na nikipita kila area wananitii
mi ndo gwiji mi, mi ndo mvp
hamniwezi mi, hadi mfanye ni, yoh!


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...