lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu quick rocka feat. omg - watasema

Loading...

love me the way that you do baby
we got a long way to go
maneno yao sumu usisikiize

uuuh yanaumiza roho
i know you love me, love me, love me
love me, love me baby (me know dat)
you know i need you, need you, need you
uuuuh

watasema sanaaa na kisha watalala
kama kunipenda najua unanipenda sana
watasema sanaaa baby
na kisha watalalaaa darling

wakina nanii sijui wakina nanii
usiwaskiize, wote ni mashwaini mamii
kina nanii wana chuki na mi
usiwaskiize, baby girl baki na mi huh
ba ba baki na mi hata wakitalk talk
you listen to me
con boi it’s all that you see
acha waongee usiku watasleep

so acha waonge donge, my baby oh aah
ya kwetu si yasonge, milele oh aah
‘cause i know that you need me girl
you wanna be with me girl
i know that you love me girl
and i love you mi love long time ooh ah so

watasema sanaaa na kisha watalala
kama kunipenda najua unanipenda sana
watasema sanaaa baby
na kisha watalalaaa darling

me i’m in love witchu girl
me i’m in love witchu girl, woowoh
me i’m in love witchu girl
me i’m in love witchu girl, woowoh
i fell in love, i fell in love
i fell in love, i fell in love

so unajua sometimes
sina pesa ila ukiniona nimetuna
mama zao nawakwepa wana ngoma itanitafuna
kidogo mbona sunnah wakituona wananuna
na jinsi unavyonikuna ukinichunia
watasema sana na mwisho watalala
usiondoke wataja kuniita majalala
utawapa hata sababu ya kuanzisha mijadala
nnavyokupenda yani mpaka najiona fala

watasema sanaaa na kisha watalala
kama kunipenda najua unanipenda sana
watasema sanaaa baby
na kisha watalalaaa darling

watasema sana
unanipenda sana
watasema sana
unanipenda sana


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...