lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu quafff - hii mwaka

Loading...

check! check! (ni lazima nishike dooh)
black! (quafff just landed)
(ni lazima waniite boss)

hii mwaka ni yangu na staki stori mob ni lazima nishike dooh
hii mwaka ni lazima waniite boss
this year nakwambia nitawablock
walilenga sana hii mwaka watani~know

yeah, kitu ya kwanza nikiomoka nikuwachangia number
niongezee kiburi niwaudhi mih sidai kuwabamba i swear
bei yangu itapanda nkishashika bramba stashikika vile nimepanga hamjui kitawaramba heee
hakuna siku nitalipa ati ndo mnipost
kwanza hio siku joh ikifika mtanilipa tu ndo mnipost
kuzoza kila dakika kwa mneti picha nkipost
pesa zitakua magnetic zinakam na mih siforce

sober man nyi mkichase makali na~chase mf~ko
mungu afungue milango tukafunge me and my people
mtaniona ndani ya benz mamanzi zenyu niwachipo
ghafla tunatrend nairobi gossip ndo tuko

niko kubarikiwa mtadhani god ana~overdo
breko ni panama lunch supper ni malibu
mamangu joh ni mspoil hee niko k~mharibu
sabuni ya roho mih naoga nayo nanii usinijaribu
i’m leveling up place niko hamfiki
you knew me when i was broke? i changed me sina rafiki
mko kuniita boss~mdoss mr. machingli
hii mwaka hainitoshi ofcourse nataka nyingi (bweeerrr!)

hii mwaka ni yangu na staki stori mob ni lazima nishike dooh
hii mwaka ni lazima waniite boss
this year nakwambia nitawablock
walilenga sana hii mwaka watani~know

kama si pesa ama biz mih staki
ati jimmy this! jimmy that! bladi~f~~kin’
nikizisakanya weh olikuwa wapi?
na ngoja niive mtanitafuta hamnipati
it’s about time pia mih nishike visenti
it’s been while but am back with plenty
na sijaikosa opps buhrofcourse mih shenzi
nawanyuria kama fatxo niwazike ka mackenzie ah!

na nita~make sure huwezi ni~afford
juu raundi hii niko all in board
ka unataka competition tupatane on top
lakini ka ukijua

hii mwaka ni yangu na staki stori mob ni lazima nishike dooh
hii mwaka ni lazima waniite boss
this year nakwambia nitawablock
walilenga sana hii mwaka watani~know
hii mwaka jo ni yangu nitaball msitense
shakahola shakahola already paste tense
ma~horror ukora nmejipin in case
this year nitawablock niomoke na ni dress
nye~nye~nye~nye already msha~talk
mushene mushene ya nini nyi mastalk?
nitatrend niwashock nitatoka jo kwa block
mtabend mkiplea nitabaki nikisn0b

hii mwaka jo ni yangu ka~deila ni manyagu
ma~kismat side yangu na mahater huko manyu
nitajenga hadi mbanyu na ganji ndizo zangu
nitachase hadi pwagu this year tu ni yangu

hii mwaka ni yangu na staki stori mob ni lazima nishike dooh
hii mwaka ni lazima waniite boss
this year nakwambia nitawablock
walilenga sana hii mwaka watani~know

year one, 2017
sai 23 hii ni yangu my dream
after nishamake usijieke kwa my team
ka back manyu uliniacha no regrets usinimention
sikujui no debating
ka tuli~sin i’m sorry no repenting huskii ka si dooh aii we not relating
naeza ku judge new laws implementing
ka sonko ikibidi joh ni brag iko sawa
juu ni baraka zake jah si madawa blueticks greyticks kama kawa f~~k off you hii mwaka nimenawa
hii mwaka ni yangu na staki stori mob ni lazima nishike dooh
hii mwaka ni lazima waniite boss
this year nakwambia nitawablock
walilenga sana hii mwaka watani~know


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...