lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu qlaryce - nimepona

Loading...

woh woh woh woh

woh woh woh woh

woh woh woh woh time imefanya ile kitu

woh woh woh woh

woh woh woh woh

woh woh woh woh time imefanya ile kitu

ulipovunja moyo w~ngu

pumzi iliniishia

mchana wote na usiku

nilikuwa naliaaaaaaaa

nilidhani bila wewe

mi nitakuja kufa
but time ni nani

time ni nani yeaa aaa

time imefanya ile kitu

muda umeponya nafsi yangu

haupo oh akilini mw~ngu

oh oh oh oh oh oh oh oh

time imefanya ile kitu

baby ona sasa nilivyo juu

bet unawish ningekuwa wako

oh oh oh oh oh oh oh oh

nimepona ~ aaahhh

nimepona ~ aaahhh
nimepona ~ aaahhh

maumivu ya mapenzi

nimepona ~ aaahhh

nimepona ~ aaahhh

nimepona ~ aaahhh

maumivu ya mapenzi

ulinidanganya kwamba hutawahi niumiza yeoooh

ukanidanganya mi na we milele mpaka kufa yeoooh

uliponiacha nilidhani

kwamba sitawahi kufuf~ka

but time ni na~ani

time ni na~aniiii

time imefanya ile kitu

muda umeponya nafsi yangu

haupo oh akilini mw~ngu

oh oh oh oh oh oh oh oh

time imefanya ile kitu

baby ona sasa nilivyo juu

bet unawish ningekuwa wako

ohhhhhhhhhhh

nimepona ~ aaahhh

nimepona ~ aaahhh

nimepona ~ aaahhh

maumivu ya mapenzi

nimepona ~ aaahhh

nimepona ~ aaahhh

nimepona ~ aaahhh

maumivu ya mapenzi

ona ninavyong’aaa

baada ya dhikii faraja

ona ninavyopaaa

zaidi ya tai kwenye angaa

ona ninavyong’aaa

baada ya dhikii faraja

ona ninavyopaaa

ona aaaaaaaaaaaa

nimepona ~ aaahhh

nimepona ~ aaahhh

nimepona ~ aaahhh

maumivu ya mapenzi

nimepona ~ aaahhh

nimepona ~ aaahhh

nimepona ~ aaahhh

maumivu ya mapenzi


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...