lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu qlaryce - joto

Loading...

j~po baridi hii imekithiri
baby usiworry
niko na wewe
i’ll never let go
najua hali yetu matatizo
ila sitagive up
juu subira
huvuta heri

baridi ikizidi sitalibadili joto
juu joto lipo kwa ajili yako oh oh oh oh
acha lifute hayo
maumivu yako
let me love you uh baby
let me hold you closer in the dark

joto lipo milele kuja ndani baby
joto langu lipo milele kuja ndani baby
joto lipo milele kuja ndani baby
joto langu lipo milele ehh

juu ama chini sitakuacha
juu pamoja tuko better
wakisema hufai
bila shaka wanapigia buzi gita
chochote dhidi yetu
hakitafaulu
katika kila hali l always love you
i will always love you
baridi ikizidi sitalibadili joto
juu joto lipo kwa ajili yako oh oh oh oh
acha lifute hayo
maumivu yako
let me love you uh baby
let me hold you closer in the dark

joto lipo milele kuja ndani baby
joto langu lipo milele kuja ndani baby
joto lipo milele kuja ndani baby
joto langu lipo milele ehh

bora nikuwe tu na penzi lako aaa aaa
hakuna atakayetenganisha aaa aaa
vitani we hauko pekee yako aaa aaa
dunia ije tuko pamoja keep going baby

joto lipo milele kuja ndani baby
joto langu lipo milele kuja ndani baby
joto lipo milele kuja ndani baby
joto langu lipo milele ehh


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...