lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu prince danniel - umenibariki

Loading...

“ves 1″
kama daniel kwenye tundu la simba polini
kama samsoni na yule simba polini
‘aligeuza zile no no’
‘akazifanya yes wengi wakasema twasubiria”
‘akaubomoa ule ukuta wao”
‘vikachenji viko new now”
yesu we kama ungekua mwanadamu ningeshakuf~ga leo
yesu we kama ungetazama moyo w~ngu ungeshanifuta eh

eeeh umenibariki jehova
eeeh umeniinua jehova
acha nikutukuze

“chorus”
umenibariki umenibariki umenibariki
umenibariki umenibariki umenibariki
x2

“ves 2”
vile vikwazo vyao
ngonjera zao
maneno yao..
tena kufuru zao
ubaya wao
tamaa zao
zilikua ni busta tu k!lla hatua ni dua tu
havikujeruhi moyo w~ngu
kwake nimeweka supa gru.x2
yesu we kama ungekua mwanadamu ningeshakuf~ga leo
yesu we kama ungetazama moyo w~ngu ungeshanifuta eh

eeeh umenibariki jehova
eeeh umeniinua jehova
acha nikutukuze

“chorus”
umenibariki umenibariki umenibariki
umenibariki umenibariki umenibariki
x2

the call me prince danniel

{kwake kwake uzima tele njooni wote}
{tuenjoy naye jehova}


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...