
lirik lagu prince d - roho inauma
ah, heeh
atchu! tchu tchu tchu
yea, it′s another prince d prod
prince d
oh oh oh oh oh, mama
roho yangu ina uma
sijuwi nita fanya jje
roho yangu ina uma, mamma
matatizo yangu yame zidi imani yangu
nimu lilie nani?
mbona hakuna
uchungu mbona ni kwa wingi, sana
roho yangu, eh
ona ina uma sana
zaidi hata ya imani ninayo, oh
mbona ni shida sana
dunia shida, oh shida sana
oh oh, oh oh shida sana
eh eh
nime ambiliwa ni vumilie
ila matatizo yangu
yazidi imani yangu
eh eh
nime ambiliwa ni vumilie
ila tatizo zangu
zazidi imani yangu
niende wapi mimi mbona hakuna
roho yangu ina uma, ah
hakuna waku tuliza
nani waku tuliza
roho yangu inayo uma, ah ah
roho yangu ina uma, ah
hakuna waku tuliza
nani waku tuliza
roho yangu inayo uma, ah
roho yangu ina uma, ah ah
hakuna waku tuliza
nani waku tuliza
roho yangu inapo uma
roho yangu ina uma, oh oh
hakuna waku tuliza
nani waku tuliza
ni mungu tu hakuna mwengine, eh
nalia baba, eh
tatizo zangu naleta kwako
nalia baba, eh
shida zangu naleta kwako, baba eheh
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu lafayette - je perds la boussole
- lirik lagu sișu tudor - o să trecem peste
- lirik lagu gaudion - night to day
- lirik lagu elderbrook & ahmed spins - waterfall
- lirik lagu ayşe mine - o gün gelmesin
- lirik lagu robbie g - where'd you go (remix)
- lirik lagu psythoness - tuda
- lirik lagu tom venam - when two worlds collide
- lirik lagu cutterjay - carver
- lirik lagu that kid danny - anatomy!