lirik lagu polycarp otieno - lala toto lala
[verse 1]
wamemchukua
kutoka mikono yangu
serikali yaungana
watu wasio watu
wameninyanganya mtoto
toka mikono yangu
serikali ya wezi
na watu wasio utu
[chorus]
mawingu yametanda
kaburi imeshukishwa
kasisi akasema
nenda salama, nenda
lala, mtoto lala
lala, mtoto lala
[verse 2]
rest easy, knowing
we won’t forget
we chant your name
rest easy
we will fight again
you are not in vain
peace to the fallen
freedom is calling
lift our voices
tell, our stories
[chorus]
mawingu yametanda
kaburi imeshukishwa
kasisi amesema (akasema)
nenda salama, nenda
lala, mtoto lala
lala, mtoto lala (uuuu)
haki inakuja, lala
lala, mtoto lala
[outro]
mawingu yametanda
kaburi imeshukishwa
kasisi amesema
nenda salama, nenda
lala, mtoto lala
(lala, mtoto lala, mtoto lala)
lala, mtoto lala
(lala, mtoto lala, mtoto lala)
haki inakuja, lala
(mtoto lala, mtoto lala)
lala, mtoto lala
(lala, mtoto lala, mtoto lala)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu marie myriam - celui qui s'en va
- lirik lagu diana ross - stone liberty (stereo mixdown of japanese quad mix)
- lirik lagu tueza - double it quick (prod. rtb beats)
- lirik lagu volkee, alex lám, тейстлув - summervibes
- lirik lagu levit.beats - фотография (photo)
- lirik lagu double g woody - peso
- lirik lagu the omg girlz - motion
- lirik lagu tim arnold - heimdel
- lirik lagu lil lano - prada/tiefblau (original)
- lirik lagu глубоко водный (gluboko vodnyy) - в ауте (in out)