lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu pole - yammi

Loading...

[intro]
yammi yammi

[verse 1]
mwanakwenda uende, sik~mbuki kilichofanya nkupende
nanukuuu ndo uliyasema hayooo
na shamba liikosa jembe
kilima cha kushuka nikipande
nikanyosha mikono juu, nikaoiga konde moyo ahh

[pre chorus]
hadi najionea maajabu, mpaka nashangaa
kipi ulichosahau kw~ngu ama ulipo hakuna fuhara
we si ulifuta namba zangu, ukaniacha mataa
mixer kuniimbia taarabu, umeshajikataa

[chorus]
nananinananaaaw
umeshachelewa pole
umeshachelewa pole
umeshachelewa pole
umeshachelewa pole

[verse 2]
mhh saivi napewa full dozi ya k~mimina
ahh kuna muda sina usingizi, nalazwa mzima
penzi nimelipitia kozi, sio made in china
sio wewe mwana kikohozi kubanja kujinyima
[pre chorus]
hadi najionea maajabu, mpaka nashangaa
kipi ulichosahau kw~ngu ama ulipo hakuna fuhara
we si ulifuta namba zangu, ukaniacha mataa
mixer kuniimbia taarabu, umeshajikataa

[chorus]
nananinananaaaw
umeshachelewa pole
umeshachelewa pole
umeshachelewa pole
umeshachelewa pole


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...