lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu platform tz - zoba

Loading...

[verse 1 : platform]
au kisa nampenda, ndio maana haishiwi kuniliza
ni ukweli sijiwezi, ndio maana haishiwi kuniumiza
siwezi k~muacha maana nampenda na ananitesa, eeh
kugombana siwezi, ugonjwa mapenzi, naogopa jela, eeh

[chorus : platform]
eh, mapenzi ni homa, yashanichoma
ila bado nipo (eh)
kupenda sitakoma, acha niwe zoba
ila bado nipo

[verse 1 : abigail chams]
siambiliki wala sishauriki
mapenzi na mimi, ata nzi hujiri, yeah
siambiliki wala sishauriki
mapenzi na mimi, ata nzi hujiri
yeah~ooh, yeah, yangu roho
ameshika mimi, amenithamini
yeah~ooh, roho, yangu roho
ameshika mimi, amenithamini (woooh)

[chorus : platform]
eh, mapenzi ni homa, yashanichoma
ila bado nipo
kupenda sitakoma, acha niwe zoba
ila bado nipo
[outro]
ooh~ooh~ooh
niwe zoba
boom
and the good work has been done by kapipo
isikukite hadi


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...