lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu pittyboy - sikuachi

Loading...

i wanna take you out
inna mah lunch
just say your favorite places

set the date and the time yeah

my baby she′s so fine fine fine
i want you to meet my mama
will you be my wife wife wife?
mother to my kids, you never know

i wanna go far with you
love love love love love
i wanna grow old with you
love love love love love

my sweetie, mtoto, my lover
my sweetie, mtoto, my lover
eeh nampenda
kikweli mimi nampenda

sikuachi! simuachi
sikuachi! simuachi

kwanza kanikosha roho (iyee aah iyee ahhh)
mahaba kayajaza ndoo (iyee aah iyee ahhh)
mapenzi yamenikata kati maini (maini)
na kwenye simu nimekusave mine (mine)

na vile umenishika tighty
aah iyee aah
nimeganda, nimezama
kwako niko hoii
aah iyee aah

one! i need you
two! i miss you
three! i love you
wherever you go baby i go go

sikuachi! simuachi
sikuachi! simuachi

jiko bila jivu ni moto
sikujua niko juu wala chini kushoto
kama vila kiwi na makeup
zinapaka zote viatu same na hii ha ooh
sasa hivi nacheka
maumivu yamekwisha
kila siku kukesha mami yeah
we ndio my boo boo boo
sitaki story mob baby show me boo

yeah! yeah!
mara eeh mara ooh, mara nataka banana
mara usinipe, nipe nataka kuifanya
natetema nikihema, naover~do kuchecheka
niende wapi sasa hivi wa moyo amenishika

sikuachi! simuachi
sikuachi! simuachi


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...