lirik lagu pingu - binti kiziwi
nimpate vipi mi sijui
nina imani mapenzi hayajui
nitapata ugonjwa wa moyo
kwa sababu ya mawazo
ninavyo jua maisha yake
hajawahi kuwa na boyfriend
ila ni mimi wa kwanza
na ninashindwa k~mpata
kwa ishara naonekana nampenda
yeye eti mi namzingua
eti kama angilikua anasikia
basi ukweli w~ngu angeujua
kwa ishara naoneka nampenda
yeye eti mi namzingua
eti kama angelikua anasikia
basi ukweli w~ngu angeujua
ningemzowea rafiki yake
basi mi ningemtuma
ningezitambua ishara zake
kwake mi ningefika
ningemzowea rafiki yake
basi ningemtuma
ningezitambua ishara zake
kwake mi ningefika
sicilia ninampenda
(binti kiziwi)
moyo w~ngu wamtaka
(binti kiziwi)
sicilia nateseka juu yake
(yeye binti kiziwi)
sicilia ninampenda
(binti kiziwi)
moyo w~ngu wamtaka
(binti kiziwi)
kichwa kinauma mawazo
(kwakе binti kiziwi)
nashangaa pale napomkuta
akiwa na wenzake wanaongеa
huwa najiuliza mimi
wanaongea naye vipi
nashangaa pale napomuita
nahisi huwa anakataa
sijui ndio hasikii
au mapozi au mapozi naye
afadhari angejua kusoma
hata hatari ujumbe ningempa
eti kama ningejua ishara
basi kwake ningefika mimi
afadhari angejua kusoma
hata bonge ujumbe ningempa
eti kama ningejua inshara
basi kwake ningefika baby
sicilia ninampenda
(binti kiziwi)
moyo w~ngu wamtaka
(binti kiziwi)
nateseka juu yake
(yeye binti kiziwi)
sicilia ninampenda
(binti kiziwi)
moyo w~ngu wamtaka
(binti kiziwi)
kichwa kinauma mawazo
(kwake binti kiziwi)
binti kiziwi yuko full
yani yuko bomba
amenidatisha mnyamwezi na yake figa
tatizo moja tu ambalo mimi linanisibu
kila kukicha hata nikiwaza mi sipati jibu
nikimuambia neno i love you
(wala halijui)
nikimuambia neno i need you
(halitambui)
nikimuimbia nyimbo nzuri hata haisikii
pingu nasikitika nikimuona binti kiziwi
nikimuambia neno i love you
(wala halijui)
nikimuambia neno i need you
(halitambui)
nikimuambia nyimbo nzuri hata hasikii
pingu nasikitika nikimuona binti kiziwi
hata kusema neno i love you
kwake halijui
hata kusema neno i need you
kwake halitambui
hata kusema neno i love you
kwake halijui
hata kusema neno i need you
kwake halitambui
baby baby baby baby boo
baby i love you
ingawa nateseka tu naye
baby i need you
baby baby boo
baby i love you
baby tu baby i need you
sicilia ninampenda
(binti kiziwi)
moyo w~ngu wamtaka
(binti kiziwi)
sicilia nateseka juu yake
(yeye binti kiziwi)
sicilia ninampenda
(binti kiziwi)
moyo w~ngu wamtaka
(binti kiziwi)
kichwa kinauma mawazo
(kwake binti kiziwi)
sicilia ninampenda
(binti kiziwi)
moyo w~ngu wamtaka
(binti kiziwi)
sicilia nateseka juu yake
(yeye binti kiziwi)
sicilia ninampenda
(binti kiziwi)
moyo w~ngu wamtaka
(binti kiziwi)
kichwa kinauma mawazo
(kwake binti kiziwi
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu the peanut butter conspiracy - second hand man
- lirik lagu yung trey - figure it out
- lirik lagu vance joy - like gold (live at sydney opera house)
- lirik lagu tvneshi - versets
- lirik lagu kiko el crazy - saco e sal
- lirik lagu prince harvey - r.i.p. 2016
- lirik lagu ares (fin) - kaikki saa kukat joskus
- lirik lagu cha$e d’amico - vans freestyle
- lirik lagu sweet homé - autumn
- lirik lagu victoria nadine - happy tears