lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu phy - una manzi

Loading...

mrefu kama mlingoti
tamu kama mshikaki
nakucheki
pale pale
mweusi kama my coffee
mtanashati ooh baby nakucheki
pale pale

sijazoea kufanya hivi
niambie
sijazoea kufanya hivi
niambie

una manzi or can i have your number -2
kama una mimi najitolea
una manzi of can i have your number
can i have your number
can i have your number
can i have your number

twende uki niruhusu, nikakupige busu
nakucheki pale pale.
wazazi wakikubali, twende zetu tumarry
nakucheki pale mbele

sijazoea kufanya hivi
niambie
sijazoea kufanya hivi
niambie

una manzi or can i have your number -2
kama una mimi najitolea
una manzi of can i have your number
can i have your number
can i have your number
can i have your number

swaga yako baby balaa,
unafanya mimi fala
nakucheki pale pale
swaga yako baby balaa,
unafanya mimi fala
nakucheki pale pale
sijazoea kufanya hivi
niambie
sijazoea kufanya hivi
niambie

una manzi or can i have your number -2
kama una mimi najitolea
una manzi of can i have your number
can i have your number
can i have your number
can i have your number


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...