
lirik lagu phina - yatapita
[intro]
uuuuhh uuuuhh
mmmhh
hili nalo litapita
kama yale yalivyopita, oh yeah
[verse 1]
tunaridhika na vyetu
wala sio vya kuba, mmmh
mlo mmoja kwa siku
lakini tunashiba, yeah
tushatembea pekupeku
tukachomwa na miiba
tulishaugua mchana usiku
hatukupata tiba, ooh yeah
[pre chorus]
maumivu juu ya maumivu
hili nalo litapita
kama yale yalivyopita, oh yeah
[chorus]
we are the chosen
we are the champions
hili nalo litapita
we are the chosen
we are the champions
kama yale yalivyopita
yalivyopita, yalivyopita
kama yale yalivyopita
yalivyopita, yalivyopita
hili nalo litapita
[verse 2]
victory is my story
tomorrow holds the glory
even though it seems
that i’m falling
all of this is temporary
wanatutakia kifo, hatufi (bado tunadunda)
mungu wetu haututupi
[bridge]
sema woyo woyo woyo (woyo woyo woyo)
woyo woyo woyo (woyo woyo woyo)
[pre chorus]
maumivu juu ya maumivu
hili nalo litapita
kama yale yalivyopita, oh yeah
[chorus]
we are the chosen
we are the champions
hili nalo litapita
we are the chosen
we are the champions
kama yale yalivyopita
yalivyopita, yalivyopita
kama yale yalivyopita
yalivyopita, yalivyopita
hili nalo litapita
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu mitraz - mulakaat
- lirik lagu forrest frank - gods got my back
- lirik lagu ariel - name on the dance floor - legendary mix
- lirik lagu ekho017 - красные картины (red paintings)
- lirik lagu hayden everett & jack van cleaf - expiration date
- lirik lagu diego "uma" rodríguez & martin bosa - atleta del amor
- lirik lagu ruckshiit, p. tella & ban rody - ice attack (dj rocc mix)
- lirik lagu myke towers - 100 copas
- lirik lagu flower face - valentine - demo
- lirik lagu alex fernandez - te va a doler