lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu phina - kesho yako

Loading...

[intro]
kuliko jana
kesho kesho ni kubwa kuliko jana
yeh, yeh, yeiyeee ieeeh

[verse 1]
he, nimeamka asubuhi
nacho kisura kwa kiooo
mdogomdogo sielewi
nikicheki sina sahio
baiskeli sina
wanapita na magari, vumbi kuntimulia
vyeti sina
nani wa kuniajiri na shule nlikimbia
najipa moyo
mdogomdogo
najua kesho nitatoboa tu (keshoooo)

[chorus]
kesho ni kubwa sana kuliko jana, kesho yangu
kesho ni kubwa sana kuliko jana
(kuliko jana, kuliko jana, uuuuh kuliko jana)

[verse 2]
wakati unatafuta peke yako
support huzioni
sasa ngoja ukizipata peke yako
mdomoni haukongi
nyakati ngumu haziishi milele (milele)
ila wavumilivu ndio hushinda milele (mileleeeeh)
weka mikono juu jipongeze kisha piga makofi
umetoka mbali jipongeze piga makofi (kesho)
[chorus]
kesho ni kubwa sana kuliko jana, kesho yangu
kesho ni kubwa sana kuliko jana
(kuliko jana, kuliko jana, uuuuh kuliko jana)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...