lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu petronilla ayuma - wewe ni mungu

Loading...

intro
utabaki kuwa mungu
utabaki kuwa mungu
wewe ni mungu utabaki kuwa mungu
baba wa mbinguni tuna kuabudu

verse 1
njia zako sio kama za mwanadamu haleluya!
akili zako sip kama za mwanadamu haleluya!
mawazo yako sio kama ya mwanadamu haleluya!
mipango yako sio kama ya mwanadamu haleluya!
kazi zako sio kama za mwanadamu haleluya!
sauti yako sio kama ya mwanadamu haleluya!

chorus
(wewe ni mungu utabaki kuwa mungu
wewe ni mungu utabaki kuwa mungu
wewe ni mungu utabaki kuwa mungu
baba wa mbinguni tuna kuabudu) x2

verse 2
(niamkapo waamka nami
niondokapo waondoka nami
nikimbiapo unakimbia na mimi haleluya!
machozi yangu unayapanguza
nitelezapo wanitegemeza
uhai w~ngu umeushikilia mkononi haleluya!) x2

chorus
(wewe ni mungu utabaki kuwa mungu
wewe ni mungu utabaki kuwa mungu
wewe ni mungu utabaki kuwa mungu
baba wa mbinguni tuna kuabudu) x2

bridge
name above all names come and reign
come and reign
risen king of kings come and reign
come and reign jesus
my destiny maker
come and reign
my powerful healer
come and reign
my miracle worker
come and reign
oh holy spirit
come and reign
jesus saviour come and reign
come and reign jesus
name above all names come and reign
come and reign jesus
risen king of kings come and reign
come and reign jesus
my destiny maker
come and reign
my powerful healer
come and reign
my miracle worker
mome and reign
oh holy spirit
come and reign
jesus saviour come and reign
come and reign
outro
(wewe ni mungu utabaki kuwa mungu
wewe ni mungu utabaki kuwa mungu
wewe ni mungu utabaki kuwa mungu
baba wa mbinguni tuna kuabudu) x2


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...