lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu patrickmp - christmas be happy

Loading...

christmas
be happy

tunashukuru kweli kwamwanye mungu. ametulinda mwaka mzima siku zote. ametulinda. tunabidi tushukuru mwenyezi mungu. nguuuuuu

christmas. christmas. eeh tuimbe sote christmas .mwaka mupya
christmas oh tuimbe sote christmas christmas tufurahi christmas tujojoy eeh mwakampya

yesu amezaliwa. tufurahi sisisote amezaliwa mwana wa mungu christmas ~~~~tufurahi tujijoy tufurahi yii!

for everything

.tushukuru mwenyezimungu. kwayote anayo tulinda dariki ya .kwanza mwewzi wa kwanza anatulinda asubuyi na muchan .anaendeleya kuwa nasi tunajuwa ni mengi ambayo yanapita katika .dunia leo ni mwaka. mwaka tunaivuka. leo nimwaka mwaka .tunairuka

.christmas. oh christmas. tuimbe sote christmas oh christmas .tufurahi christmas oh christmas oh mwaka mpya
.christmas oh christmas

.amezaliwa yesu mwana wa mungu
.patrick emmanuelmp


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...