lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu p-funk majani - zee la busara

Loading...

[intro]
(laughs)
[?] so f~ck baby
yeah, yeah, yeah
s2kizzy, baby
yeah, uh

zee flani la busara (zee!)
zee flani la busara (baow!)
mjomba sio utani
ukikutana nalo, piga sala
na make money, make dollar
msela mavi simpi gwara
mzee kweli sio mkwara
hatufanyi kazi ya hasara
(g~g~g~g)
yeah
hamjui hizi pesa tumepata kwa tabu
we waulize wanaonijua
ukinipiha kizinga, utaishika adabu (baow!, baow!, baow!)
uh, uh
we vipi we mzee, we babu
kaa kwa kutulia kaa kistaarabu
(ooh)
yeah
ice on my neck (look at it)
na shine mwili mzima my wrist, bro
nahisi nishakuwa tajiri, my n~gga
naona nnavyoinunua piece [?]
nimekuwa kauzu kweli, kweli
halafu sikuhizi sina roho ya kikristo (amen)
money coming daily, daily
pesa za muziki na pesa za ping~pong
naitwa
(rrring!)
yeah
[chorus]
(zee la busara)
in case you don’t know
now you know, n~gga
what’s my name?
(zee la busara)
uh, in case you don’t know
now you know, n~gga
what’s my name?

[post~chorus]
mzee wa busara
mzee wa busara
mzee wa busara
mzee wa busara
mzee wa busara
mzee wa busara

[outro]
he~he~he, yeah
i know you ain’t believing it, baby
if i win this time, baby it’s crazy out hеre
my n~gga p [?], here
so wе gon far [?], all day
natutatumia zaidi ya 10k
nikisema 10k namaanisha dollar elfu k~mi na sio elfu k~mi
ha~ha~ha~ha, yeah
bio!
link is on the bio
it ain’t over til it’s over, baby
s2kizzy waddup?


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...