lirik lagu p-funk majani - nini unataka
[intro]
yeah
drop the boom, yo
[verse 1: stamina]
mnataka watoto, mna mitonyo?
mkitaka michano, njooni kw~ngu haina kikomo
nachafua beat haipiti jik wala omo
mi ndio rapper wa gharama ‘nnae hit bila promo
bila swag za ku~fake ‘mambo yente
tunafunika show mbele ya ney, halafu manzese (eh)
wakulima ombeni mvua acha inyeshe
mi nataka fuba ‘ma mtu ili home wacheke
wakipanda juu, nawapandia siw~ngojei
bidhaa nimeiboresha, cheki inavyo panda bei
wakitema yai, nayapanga kwenye tray
dimbani feisal salum, ukiniona niite “fey”
nini mnataka?
au niwavue kama papa?
hata nikiwa baba, nitaitwa uncle kama ngassa
flow za kitambo, zina hit mpaka sasa
wanashangaa panya road jinsi navuka mipaka
mnataka mistari, eh?
mmefika pundamilia
hadi kwenye zebra ‘navuka kwa kukimbia, he!
mambo sio shega ila wahuni wanaaminia
na kwenye show bila mega wahuni wanashangilia, boom!
[chorus]
nini mnachotaka mazee?
nini mnataka?
hapa ni shwari
wala hakuna gozi
mambo juu ya mstari
ni dose juu ya dose mpaka~
aaah
nini mnachotaka mazee?
nini mnataka?
hapa ni shwari
yeah, p1 black
wala hakuna gozi
mambo juu ya mstari
ni dose juu ya dose mpaka~
aaah
[verse 2: p1 black]
ma pimp hawahesabiki
full bling pande hizi
money talks, so
vichwa panzi wote wamesha~cease
drink ama meals
kidimbwi kwenye breeze
huku beat inakubamba
[mama au kwenye kiss]
ma playa~haters, ma men na ma she’s
[? machizi vip wote]
[ciga ? tino]
p1 black niko blessed na mshwaty
si hatu~dance, hatu~shake, tuna~swing kama’
kweli una feel njoo uji~mix pande hii
kama’ noti inasema, basi kaunta usihofie
jiagizie, jimiminie, uwe bwax ile, ‘bwi
what you get is what you see
mzuka ndani ya club ‘leo ladies free
please, ukiwa club sio u~cease
machizi watachukua kuanzia boot mpaka jeans
uki~cease sana, ‘usi~cease sana
wana, ‘wata~deal na pakunyea
[chorus]
nini mnachotaka mazee?
nini mnataka?
hapa ni shwari
wala hakuna gozi
mambo juu ya mstari
ni dose juu ya dose mpaka~
aaah
nini mnachotaka mazee?
nini mnataka?
hapa ni shwari
wala hakuna gozi
mambo juu ya mstari
ni dose juu ya dose mpaka~
aaah
(instrumentals)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu mikko alatalo - rokkilaulaja
- lirik lagu baby bronco - good times
- lirik lagu pradam0rgue - my perspective on everything
- lirik lagu karen harding - lightweight for your love
- lirik lagu rów babicze - cztery pory rowu
- lirik lagu the junipers - i've been in your shoes
- lirik lagu iyan velji - trump train
- lirik lagu jzx2blood - можно уже по тише ( can you be quieter now)
- lirik lagu moon kissed - don't wanna know
- lirik lagu упал (upal) - почему (why)