lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu p-funk majani - bbm 2022

Loading...

[intro: ngwair]
n~n~n, now check it
now check it, check it
now check it
(gachi b)

[verse 1: ngwair]
now check it
niko bored club
i’m just non alcoholic
nikila pombe kitu gani ‘i’m just a roman catholic
bar tender please nipe triple gin and tonic
then, nikapate kitu ya chronic, yep (that’s right)
dark master toa bonge la pipe
ile two in one bob marley’s type, yeah (that’s right)
mtu mzima nikawa ‘haile high
namchimba mtoto mkali bila chembe ya nishai
nikaanza k~mpa flows ka maji ya mto nile
kila dini ninalo tupa ‘mtoto ana smile
na kwenye flow ana nyonga hata zaidi ya python
jeans mlege flani unaweza kuiona thong (woo!)
nikawa nachukua video kwa my camera phone
huku niki~wish kama nae angeniweka kwa ringtone
tukaji mix wote, my friends na wake friends
tukiendelea enjoy pamoja ka old friends
yeah
[chorus: jay melody]
oh, mtoto flani design kama mbwiga utaogopa
and she so fine
mrembo flani ka nyooka
ananipa vitamu, tamu
viuno flani, ‘longomba
and she so fine
mrembo flani ka nyooka…

[verse 2: rapcha]
hey, girl what’s poppin?
i’m blessed to meet you
would you mind if i sit beside you?
too hot and tempted to touch
(?) dress poa (?)
let’s make a toast for that
if you don’t mind, hatutaongea kitu
sijali ka una mood (?) vibe witchu
nitaacha girls wote dar, ubaki nami tu
nak~miminia love, sina trust issues
mos, mos, tungi baada ya masaa mawili
nitamgea code to bounce, ‘bill nitalipia
bombadier ‘inataka kuingia
niko hot, sa sijui ka utaishika au utaachia

[hook: rapcha]
leo i just wanna treat you right
baby, can i take you to my crib, tonight (yeah)
straight to my bedroom
(?) phone nasahau, we get high then turn off the lights, baby
[chorus: jay melody]
oh, mtoto flani design kama mbwiga utaogopa
and she so fine
mrembo flani ka nyooka
ananipa vitamu, tamu
viuno flani, ‘longomba
and she so fine
mrembo flani ka nyooka…

[verse 3: ngwair]
yo, with these two arms, ma
i can build your world
you know i’m a rudeboy and you’re nasty girl
so let’s just stick together like a pair of shoes
and stay forever and ever like a skin tattoo
uh

[verse 4: rapcha]
yeah, brown eyes, long hair
pink lips, hips tight
you look more than fine
chill baby girl usitoke kwa line
i wanna teach you mathematics, 69’

[verse 5: ngwair]
nadhani unanielewa, mh
kama mapenzi nayajua ‘mi mtu mzima, boo
[?] used to be in love like [?] two
but i’ve never seen a chick so hot like you
(yeah, yeah)
uh, uh, uh
uko juu, mami
i wish club ingekuwa church
tungeoana usiku huu
kwani ku meet nawe leo hii naona bahati (uh)
yaani huwezi amini, mama i’m so happy
na ningefurahi zaidi ungekubali kuwa mine
(uh)
fine?
okay, okay, fine
mi nawewe milele tu~shine
hey, waiter please bring us some ah bottles of wine
hollah
[chorus: jay melody]
oh, mtoto flani design kama mbwiga utaogopa
and she so fine
mrembo flani ka nyooka
ananipa vitamu, tamu
viuno flani, ‘longomba
and she so fine
mrembo flani ka nyooka…


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...