lirik lagu osuwojr - tumechoka
yeah ! yea!yeaah!
etty cheza vitu local ,viu sasa hawana wako tu netflix
woooh!
hata genge walizika ,hivi sasa gengetone wanapiga
yoh!
wako twitter wanafoka, wivu mbaya kot hupotoka
2020 ilitutisha ,21 kusafisha kuchachisha
kus! kus!
na hii beat sija sample magix enga usianze usoro
kazi safi kitu gani na chini ya maji hata hamuogi
oh ! my!
obare bana aan sawa anego video saa madwaro ga peto
influencer bila content , hawa soshi pia hawananga pesa
ongeza followers uza account ndoo upate hata za kukunja
anaflex anadrip na deni ya felloh bado hajalipa
waaht!
madigaga na viatu hata mgotha ameomba ya photoshoot
na umeshinda ukitwerk tingiza akili unionyeshe maarifa
nimesota nikachoka leta kazi kazibora inalipa
yoh!
na fare situmi ,meme siwachi hata kama nimeboss
yaah!
kuiva si tako ,na urembo si sura binadamu huzeeka
ombima,ohanga na omollo collabo nikanye tujipate billboards
etty serikali ,tafadhali afadhali ujivunie utakufaa njaa
oh my !oh my!
ssssswishh aaah! ssssswishh aaah!
nimechoka –nimesota
beef bila bill ,mi sidai afadhali basi mi nikufe njaa
oh my !oh my!
ssssswishh aaah! ssssswishh aaah!
nimechoka –nimesota
usikuje ni kukope dooh ,me si bank ,enda tala uwaruke joh
oh my !oh my!
ssssswishh aaah! ssssswishh aaah!
tumechoka~tumechoka
usiku sacco tuko locked kuomoka ndoo siri,tumekosa otherwise
oh my !oh my!
ssssswishh aaah! ssssswishh aaah!
tumesota –tumesota
wajinga ni nyinyi ,wajinga ni sisi ,tukunje zetu urudi ndani joh
thanks kwa mafans kila day hata nikiblunder bado mko though
mahaters pia siku hizi mko lazy,ama kazi ni kulala job
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu made & sntry - nacht und nebel
- lirik lagu lidia buble - maria, maria
- lirik lagu devil's face - betrayed
- lirik lagu juice wrld - walk in the room
- lirik lagu absolutism - статуя (statue)
- lirik lagu skin (rus) - сайко (saiko)
- lirik lagu thehitta - roses
- lirik lagu wreathe - the stumps are graves of the land
- lirik lagu blunder - love songs are lame, i made one, sorry
- lirik lagu fair verona - i can’t stand it