lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu osuwojr - tough gal

Loading...

she’ssa tough gal ,she’ssa queen
hapendi boys,hapendi jokes
anapenda tu mandai na deals
anakunywa tu divai na wine

she’ssa tough gal ,she’ssa queen
hapendi boys ,hapendi jokes
anapenda tu mandai na deals
anakunywa tu divai na wine

kama ni d kalete 6 inch
kama ni height kuwa 6 feet
kama ni networth ni ya 6 figures 6 figures 6 figures

kama ni d kaletwe 6 inch
kama ni height kuwa 6 feet
kama ni networth ni ya 6 figures 6 figures ni ya 6 figures

she ain’t a hoe, she ain’t a bro , she ain’t a doe, she ain’t a foe
she can be anything she wanna be
she can get everything she wanna get

shida si dooh, shida si boo, shida ni girls, shida ni boys
wengine wana wivu juu ya shine
wengine wana uoga juu ya shine
she’ssa tough gal ,she’ssa queen
hapendi boys ,hapendi jokes
anapenda tu mandai na deals
anakunywa tu divai na wine

she’ssa tough gal ,she’ssa queen
hapendi boys ,hapendi jokes
anapenda tu mandai na deals
anakunywa tu divai na wine

kama ni d kalete 6 inch
kama ni height kuwa 6 feet
kama ni networth ni ya 6 figures 6 figures 6 figures

kama ni d kalete 6 inch
kama ni height kuwa 6 feet
kama ni networth ni ya 6 figures 6 figures ni ya 6 figures

hapendi cheap talk ,you gotta back it up with a tangible sh~t (yeah)
hapendi fatboys, six packs si a must ,you gotta be fit though

hapendi attention,tension, mention, yee hupendezwa na realness
leisure, pleasure, pressure yee hupendezwa na fullness

hauwezi mcheza ye ndoo refferee, f~ck boys wamesema wametii
last one saa hii ako mortury,first one bado ako mia
figa ni nane siyo sita tisa,lakini kugusa utasita sita
juu utakubali bei huwezi fika
labda kwa macho, d~mn she’s thicker

she’ssa tough gal ,she’ssa queen
hapendi ,hapendi jokes
anapenda tu mandai na deals
anakunywa tu divai na wine

she’ssa tough gal ,she’ssa queen
hapendi boys ,hapendi jokes
anapenda tu mandai na deals
anakunywa tu divai na wine

kama ni d kalete 6 inch
kama ni height kuwa 6 feet
kama ni networth ni ya 6 figures 6 figures 6 figures

kama ni d kalete 6 inch
kama ni height kuwa 6 feet
kama ni networth ni ya 6 figures 6 figures ni ya 6 figures

walahi , walahi bilahi wanasema huyu hatawahi pata
lakini hawajui si lazima apate juu huyu ni queen
she was born a winner
walahi , walahi bilahi ,mtashangaa mkipata na mtu
kenye hamjui amekuwa na mtu from january to december

hauwezi mpea threats, juu yee ndoo anashooters,na k!llers, na monsters
hauwezi mpea stress, anavalue peace of mind so heri uende
hauwezi mkunja na less, coz she a diva, she delivers
uliza press, walimtest, akaimpress,saa hii ndoo empress

coz she’ a tough gal ,she’ a queen
hapendi boys ,hapendi jokes
anapenda tu mandai na deals
anakunywa tu divai na wine

coz she’ a tough gal ,she’ a queen
hapendi boys ,hapendi jokes
anapenda tu mandai na deals
anakunywa tu divai na wine


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...