lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu osuwojr - narudi nyumbani

Loading...

narudi nyumbani,kwa baba na mama,huku nairobi hakukaliki
twajivunia,twavumilia,lakini kibiriti hakitingiki
wanao lao ,wanaongeza dao
wanao kosa ,wanauona ubao
na wakiteta wanapigwa mbao
hapa kanairo bana kuna wao

tulilenga 9~5 ,tupate 5~9 yeah(waawaaawaaawaawaa)
grave yard shift ndio tupate time,d~mn
ya kuchase dreams kuget more dime
you get the ordeal,no deals,more bills
forget the system
ombati anaamka daily kusecure the bag
ile asubuhi mapema kabla jogoo iwike ~kukuru
fatuma anatuma text ,thighs na matwins
ndio angalau akuwe part of bills hii mwezi,f~kuru
he ain’t lucky ,she ain’t lucky,juu hand to mouth system imeshawafunga
they can’t see , they can’t feel, they can’t think,they can’t talk ,they can’t sleep ,they can’t risk
so daily ni aluta

future iko dark design hawaezi hata dhania
ndoto zimezikwa hapa jiji ni kudandia
anything, anytime bora ulipe kodi
na uwashe moto uzikate kate,kate,kate dania

things are getting hard,tough,but wueeh vumilia
adulting ina ups,down,dos and don’ts za dunia
furahia,jivunia,usichoke ipo day
narudi nyumbani,kwa baba na mama,huku nairobi hakukaliki
twajivunia,twavumilia,lakini kibiriti hakitingiki
wanao lao ,wanaongeza dao
wanao kosa ,wanauona ubao
na wakiteta wanapigwa mbao
hapa kanairo bana kuna wao

uncle amepiga simu anadai dooh, caretaker ashapiga lock agents wamekaziaa
ni wapi nitaanzia juu mbele nyuma,niko na bob mbili najazia
kaa raia ,na jivunia kuwa mkenya

rumours kwote,niko na job jiji nakulia
graduate amepata nafuu ,ametukimbia
ghasia,tulia,nitakuangukia
nimecheki fee hakuna penye ulilipiaa
but hustle tunapiga jiji,ndio kodi tulipie
story za cert ,tulishaacha ni kuaminia
mikono ya god na a bit of luck
tusibaki hapa cbd,juu ya kila mtu anabidii
kanjo ako on my case
polisi anapiga round
wako threesome na majambazi wanifinyilie

teke,teke,teke,naduogo home
okay, okay, okay i’m on my way
narudi nyumbani,kwa baba na mama,huku nairobi hakukaliki
twajivunia,twavumilia,lakini kibiriti hakitingiki
wanao lao ,wanaongeza dao
wanao kosa ,wanauona ubao
na wakiteta wanapigwa mbao
hapa kanairo bana kuna wao


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...