lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu osuwojr - men in action

Loading...

wako ruthless wanasunda mamwili kwa gunia
heartless wanakata maopps ka dania
merciless ukiwacross,wanakuletea mercenery
tuko fearless ,la familia

kidungi iko tucked in,tunawatch maenemies wakikuja na oh oh ah
ma ak na matactics,tunascope,tunazoom,tukimark, ma~targets
coz for long wamekuwa waki tupima
wanadhani sisi ni wale wa kubanja
we are action men action men men in action

tuko war~zone, no opps , just enemies
scotched earth policy,tunaf~gilia wote
ukiskiza point aachilia chambers
mama yake alie vile wako angelia

take it as a game boy,don’t you freak out
shoot and k!ll, shoot and k!ll, that’s the only way out
otherwise utajipata wewe ndio victim
the only mercy here is a bullet on the head

tuko tucked in,tuko war front,hatutaki ma~excuses,onge min ng’ato kaa
na ukitaka rudi nyumbani ukalie machozi zako huku ni majasho tu
kila mwanaume anajikaza,asipatwe na risasi
kila mwanaume anajikaza ,asirudishwe kilema
tunascope, tunazoom, tunaachilia bazuka
na ukislow down tunakuaacha kama trap

kidungi iko tucked in,tunawatch maenemies wakikuja na oh oh ah
ma ak na matactics,tunascope,tunazoom,tukimark, ma~targets
coz for long wamekuwa waki tupima
wanadhani sisi ni wale wa kubanja
we are action men action men men in action

ok,friends wamekuwa frenemies siku hizi wanaentertain all my nemesis
kama adui w~ngu si adui wako basi inabidii wewe pia ukuwe adui w~ngu
juu staki nyoks ,around me
na staki jokes around me
is either left~right, left~right, no centre

watasema they got yuh back lakini zii
ukianguka ni wao,wamekutega
all they do is hold you back,make sure you fold
kuwa bold in the cold,is a wild wild west
every man for himself, god for us all
natural selection, kama hufit in you perishing
survival of fittest,thus why we keep it boldest
realest to the bones,illest in the sense,oh my!•ω

kidungi iko tucked in,tunawatch maenemies wakikuja na oh oh ah
ma ak na matactics,tunascope,tunazoom,tukimark, ma~targets
coz for long wamekuwa waki tupima
wanadhani sisi ni wale wa kubanja
we are action men ,action men ,men in action


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...