lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu osuwojr - i am a liar

Loading...

i am a liar
me ni malaya
nitasema nakupenda ,ili tu nikuchinje
nitasema nitatenda, ili tu nikufinye
nitasema nakupenda ,ili tu nikuchinje
nitasema nitatenda, ili tu nikufinye

aah!nitasema nakupenda,i love you kushinda maisha
watasema me ni f~ckboy,ni vile me ninatisha
beshte yako nilichinja,usijam, ni hali ya maisha
unadoubt all my feelings for you,pete ni wueeh nitavisha
usijipime na side chics,wakikuona wanajificha
paparazi wanapanguza lenses,wakidai mapicha

i am a liar
me ni malaya
nitasema nakupenda ,ili tu nikuchinje
nitasema nitatenda, ili tu nikufinye
nitasema nakupenda ,ili tu nikuchinje
nitasema nitatenda, ili tu nikufinye

wanabonga sh~t,wanasema sh~t hizo ni ukwеli my dear
will i forever stay with you,that is also my fеar
walinicheki quiver lounge nikichill na akina akinyi
si unajua akinyi jo anakuw~nga manzi wa onyi
lakini akikunywa fisher mbili
yee usahau mafundamentals
anapagawa,anaigawa aki kushinda matumbili
ungemwona jana, ungedhani,waah,waah,waah ako semi mental
lakini usiogope she just a friend
she can’t be anything more than a friend

na hizo scenes za jana jo zilikuwa tu pombe
na hizi scenes za leo though zitakuwa ni matembe

aki wallahi siezi change
aki wallahi huwezi ni tame
yeah for real, i am insane
i’m the same , what a shame

i am a liar
me ni malaya
nitasema nakupenda ,ili tu nikuchinje
nitasema nitatenda, ili tu nikufinye
nitasema nakupenda ,ili tu nikuchinje
nitasema nitatenda, ili tu nikufinye


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...