lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu osama - homa

Loading...

somoye pika chai tunywe me na wee
wambeya washindwe pata nafasi ya kunong’ona
tena uzibe masikio usi wasikize
uni pende mimi engine wapotezee

[chorus]
nadunda dunda
mzigo umepata punda
nimechoka ku uguza donda
iye iye iye
nadunda dunda mzigo umepata punda
nimechoka ku uguza donda
iye ige gee

usije niona fala aaaah
usiku uki kosa kula my baby
usizani kama nime kukosea aaah
baby tuendele….na mapenzi yetu
makosa nisame, nisame nisame
wachawi wasoge wawe mbali yetu
baby wakeme wakeme wakeme

homa
wanapata homa tunavyo pendana
homa
venue tunafatana wana umia sana
uso na tabia una malingo mwendo
mtoto kifuani kuku mdondoo
natetemeka natetema
panapo joto uni pepee
balidi kali uni k-mbatie
nishike usiniachie maana we wa kw-ngu miyee

[chorus]
nadunda dunda
mzigo umepata punda
nimechoka ku uguza donda
hiye yee eye
nadunda dunda mzigo umepata punda
nimechoka ku uguza donda
hiye yee eye

baby tuendele…. na mapenzi yetu
makosa nisame… nisame nisame
wachawi wasoge wawe mbali yetu
baby wakeme, wakeme wakeme
homa
wanapata homa tunavyo pendana
homa
venye tunafatana wana umia sana
homa
ni jali nikujali unipende daima
homa
endelea kunimeza usije nitema
homa

homa ooa maa baby baby homa
homa ooa maa inawabana
mmmh homa
baby homa, homa


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...