lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu orbit - wale

Loading...

yea! yup, yeah!
unh..

hook
wale wale wale wale, wale wale wale waaaale
wale wale wale wale, wale wale wale waaaale
hawataki ni shine (wale), hawataki ni ball (wale)
hawataki ni grind (wale), wanataka ni fall (wale)
(skrrrrrrrrrrrraaah!!!!)
wale wale wale wale, wale wale wale waaaale
wale wale wale wale, wale wale wale waaaale
hawataki ni shine (wale), hawataki ni ball (wale)
hawataki ni grind (wale), wanataka ni fall (wale)

verse 1
i hit’ em up game ipoa let me heat it up
( heat it heat it)
i put the drama out, wana midananda i just cut’ em off
(cut it cut it)
i dont need a map, i just need a mic and a couple of (a couple of what?)
real n~ggas, j~po fake n~ggas hawanipi hofu

god d~mn, nachana ki boss huwezi ku copy maana itaku cost
god d~mn, natimba kitozi nawapa mizinga na sinaa kikosi
god d~mn, kuvimba mikosi mnyamwezi sivimbi siringi si force
god d~mn, im doing the most yo mafanikio i know uko close
yea!
nimeoza nimepoa, nimeng’aza naw~ng’oa
wanakaza natoboa, nawashangaza nawaboa
nawapa ladha nawanoa, siwaparazi nawanyoa
na paparazzi wakizinguaaa, siweki wazi wanajua
aye!
na wanangu tuna flex tu, no guns no pistols
no lies means no ties and no time for a criss cross
wa primary bado wana hate, alin~n~le shumba nyeku
hawajui wanani motivate chuki zao kw~ngu mi ni bless tu

hook
wale wale wale wale, wale wale wale waaaale
wale wale wale wale, wale wale wale waaaale
hawataki ni shine (wale), hawataki ni ball (wale)
hawataki ni grind (wale), wanataka ni fall (wale)
(skrrrrrrrrrrrraaah!!!!)
wale wale wale wale, wale wale wale waaaale
wale wale wale wale, wale wale wale waaaale
hawataki ni shine (wale), hawataki ni ball (wale)
hawataki ni grind (wale), wanataka ni fall (wale)

verse 2
wale wale wale wale, wanataka mi daily niwe pale pale
wanataka nifeli nisiwe na muchele, nisiwe na machale, niwe chalechale
lakini tatizo nimesanuka, fumba fumbua kimeshanuka
nawasumbua wanarukaruka, ado ado yani sina pupa
yo!
ngoma kali sina chupa sina duka, sasa vipi nitauza sura
pamba kali mi hunyuka, oya njuka usije dhani natafuta chura
pombe kali kwa mizuka shusha chupa kama zote tuzeeshe sura
sivuti mjani wala shuka mi huvuta dough, nyumbani waweze kula
aye!
mimi na trap, ( mimi na trap)
chemistry kama roma na staminah (aye)
im living my life, (living my life)
wachawi namwaga namimina (aye)
i dont give a what, (dont give a what)
kila siku i’ll turning up (aye)
kwa kila kitu mi ni zaidi yao (aye)
modeli mupya sio dizaini yao (aye aye aaaye)
bongo sijampata wa kunipata kwa flow, labda kweny battle nipewe casper
dompo tupeni tusker nipeni faster, n’na flow kali zinakata wapeni plaster
madogo niiteni brother mnanifuata, nawaka pembeni fanta niiteni rasta
madongo tupeni hapa mnatoka kapa, n’napata ninacho kifuata niiteni hustler
ouuh!!

hook
wale wale wale wale, wale wale wale waaaale
wale wale wale wale, wale wale wale waaaale
hawataki ni shine (wale), hawataki ni ball (wale)
hawataki ni grind (wale), wanataka ni fall (wale)
(skrrrrrrrrrrrraaah!!!!)
wale wale wale wale, wale wale wale waaaale
wale wale wale wale, wale wale wale waaaale
hawataki ni shine (wale), hawataki ni ball (wale)
hawataki ni grind (wale), wanataka ni fall (wale)

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...