lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu only maestro - fine

Loading...

(chorus ~ neshry)

mbona unisare na vile jo nakutaka
na najua ushanipata
staki mambo mob
nakutaka first hand
mos mos pia na ukitaka taenda faster

(verse 1~ only maestro)

chop chop of course najibamba
sherehe tuko ndani kulipuka na majaba
sitajam mwezi nzima ka angry panda
mi si unanijua kama unga nawakandaa
kawake si lazima na matembe
si tuko kwa rodi ndani ya moti na itembee
(verse 1 ~ neshry)

mbona unanisare na jo nakutaka
cheki na kulike nakuheart kiu mater
time me hudoz me hukuwaza kiumaster
faster, faster ivo ndo utasema tukifika mechi bana
fresha barida, freshi bila shida
wewe sio tanker unabebwa na macider

(chorus~ only maestro)

mbona unisare na vile jo nakutaka
na najua ushanipata
staki mambo mob
nakutaka first hand
mos mos pia na ukitaka taenda faster

(verse 2~ only maestro)

vibes on vibes enda ukajam huko
eeh~toka nitolee apa vituko
bro you’re too c~cky, falsity ndio manaake nakuekanga kwa mf~ko
back pokcet ka kinyongi, unatucheki unagwaya na ulisema ati hatuko
mpoa ni mashini manze trap inamboo anadai tu maestro ametambua g.o.a.t
bado beats ni wazimu of course what do you expect na unajua mi ndio g.o.a.t
siezi kushuta jo mi siezangi kushtuka ata mkuje wote saa yenye zenu zishalipuka
i love my life nilithink i was alive until nimemeet messiah na makaramu ndio naskive
kadaily ka meli kutulia nikimedi
kudu kile nadai juu jo siogopi kudedi
adi uniboo bado sitajam unice ama kama huniamini kuja basi nikusurprise
maestro nawapanga ntaokoloea adi watiaji
kakiwaka zima taa hatuzimishwi na maji
(verse 2 ~ neshry)

mpoa ako leng ako peng sio pipa
ile day ulichoma ukiniita bro staki kuita sista
maze ulichachisha
kwa we ni riggy juu kuna vile me nadai kuapisha
rada iko chafu me najua utasafisha
yea, me najua utasa~

(chorus ~ neshry)

mbona unisare na vile jo nakutaka
na najua ushanipata
staki mambo mob
nakutaka first hand
mos mos pia na ukitaka taenda faster

(chorus~ only maestro)

mbona unisare na vile jo nakutaka
na najua ushanipata
staki mambo mob
nakutaka first hand
mos mos pia na ukitaka taenda faster


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...