lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu omar silver - ti amerò per sempre

Loading...

[intro]
te quiero mi amor
mmmh, mmmh

[verse 1]
upo mbali, lakini karibu moyoni
kila siku, nakuona ndotoni
i miss your eyes, i miss your touch
maisha bila wewe, kama nipo motoni

[pre~chorus]
umetokea wapi baby
au umeshushwa kwa ajili yangu, wewe?

[chorus]
there’s no way, no way, tutaachana
wewe ni w~ngu, w~ngu daima
kila siku, kila dakika
nakupenda, nitakupenda daima

[verse 2]
nilikuwa mpweke, sasa niko nawe
kama jua, umenipa mw~ngaza
kama mvua, umeleta baraka
namshukuru mungu, kakuleta wewe
[pre~chorus]
umetokea wapi baby
au umeshushwa kwa ajili yangu, wewe? (weee…)

[chorus]
there’s no way (there’s no way)
tutaachana (tutaachana…)
wewe ni w~ngu, w~ngu daima
kila siku… (kila siku)
kila dakika (kila dakika)
nakupenda, nitakupenda daima

[outro]
uuuuh
ti amerò per sempre
mmmh, mmmh


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...