
lirik lagu official bigi - unanifaa maa
unanifaa maaa
nikiwa nawe mimi nafuraha
penzi lako maa
kusema kweli umenipagawisha
unanifaa maaa
nikiwa nawe mimi nafuraha
penzi lako maa
kusema kweli umenipagawisha
baby poz
honey come close
now u know
vile nakulove more
achana na tanasha
mimi kwako nishafall
nafurahia sana nikiwa
nawe just close
down low
bae take me down low
nipeleke na rieng
tuchachishe kwenye floor
let me be open
my mind umeiblow
your love is soo strong
in my heart imegrow
hubby i wont betray you ever
instead ntakupenda forevеr
i promise not to
listen to the hatеrs
hakuna mwengine
tu ni we ndo napenda
unanifaa maaa
nikiwa nawe mimi nafuraha
penzi lako maa
kusema kweli umenipagawisha
unanifaa maaa
nikiwa nawe mimi nafuraha
penzi lako maa
kusema kweli umenipagawisha
umenipagawisha
already ushanichizisha
photo moto poz beb
nikupige picha
the way i love u
hisia zangu mi siezi ficha
achana noti flow
ju kwako ye haezi fika
bumper to bumper
i mean tit is for tat
yako mahaba
unayonipa nafurai
its a long time
nimemiss yako smile
tabasamu kiasi u r
the end of my eyes
unifaa maa
hisia zangu umezikaba
njoo nikupe tam tam
niko full mahanjam
come uone masham sham
nipe denda kwa shav shav
koromeo chini ukieka
doa tu kwa my love
unanifaa maaa
nikiwa nawe mimi nafuraha
penzi lako maa
kusema kweli umenipagawisha
unanifaa maaa
nikiwa nawe mimi nafuraha
penzi lako maa
kusema kweli umenipagawisha
nipromise utanipenda
kamwe hutonitenda
every night kunidekeza
nkinuna wanibembeleza
achana na ahadi
mi sinaga fake promise
relationship yetu
its a unique love story
nikuvishe pete
nikufunge tu moyoni
waache waongee jifanye
kama huwaoni
unanifaa maaa
nikiwa nawe mimi nafuraha
penzi lako maa
kusema kweli umenipagawisha
unanifaa maaa
nikiwa nawe mimi nafuraha
penzi lako maa
kusema kweli umenipagawisha
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu joseph habedank - thief in the night
- lirik lagu misheral - цыганская (gypsy)
- lirik lagu eversince [vo99] - yktw
- lirik lagu ayna - eylül akşamı
- lirik lagu kanvers - why?
- lirik lagu miklo - ami ennemis
- lirik lagu chicago - fancy colours (live on soundstage)
- lirik lagu apollo ltd - sunday morning feeling
- lirik lagu danger dan - tesafilm
- lirik lagu félix-édouard - another round