lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu official bigi - nataka nini

Loading...

ok
turn up the headphones quite a bit
yah man
hey, hey, hey,hey,hey
nataka nini bana
nataka nini bana
nataka nini bana
nataka nini bana
nataka toto na pesa magari
maphoto nikiwa ulaya
back in the racks back in the game
rolling de dance sifanyi for fame
they call me rich they call me buzzy
mkali ni nani mkali ni uzzi
ngori ni gani ngori ni ganji
nataka maganji majumba ufahari
you duzzi i duzzi ni uzzi na bigi on this
kwa felopy na rafiki nachana mistari mingi
check this
they hating
they said i will never make it
all i do is grind chasing dollar nataka izo cheda
uzii on this na hawafiki fiki
round this watatii watanipa tiki
wanafiki wakowapi nawata wengi
ni yule yule boy makaveli
yeah man
nataka nini bana(nataka nini)
nataka nini bana(nataka nini)
nataka nini bana(nataka nini)
nataka nini bana(nataka nataka)
nataka mrembo bana siunajua nimechoka kuwa single eey
nataka mrembo bana yah niko ready jooh pia k~mingle eey
nataka mrembo bana yah nataka tupige shere eey
nataka mrembo bana eeeh leo juu tu mpaka chee eey
msupa kuja kuja kuja hapa ndo kwa yule msee bazenga eey
ebu zunguka zunguka nicheki kama unaweza nitosha eey
leo kukula ku eat i mean mpaka mimi jooh nitosheke eey
saa ni ukeep time mami staki bana uniweke eey
so kam mami so kam hani utafanya venye minataka
so i came dadi so i came dadi i did venye inapaswa eey
so kam mami so kam hani utafanya venye minataka
so i came dadi so i came dadi i did venye inapaswa eey
nataka nini bana(nataka nataka)
nataka nini bana(nataka nataka)
nataka nini bana(nataka nataka)
nataka nini bana(yeah yeah)
we done this bigi you know we k!ll it


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...