lirik lagu octopizzo - noma ni
[chorus]
noma ni mi’ kwa maganji
noma ni we’ ni mtiaji
noma ni niko magadi
noma ni niko bacardi
noma ni mi’ ni refugee lakini saa hii joh siko kwa kambi
noma ni very soon kikoroboi natoa kitambi
[verse 1]
noma ni hamnibambi
noma ni nyi’ wote ni ma-barbie
ch-r-a ochi ugk wanani-compare na bun b
noma ni mi’ kwa maganji, n-gg-
noma ni huna kipaji
wollenje dough zina colour clash ita peter marangi
daro niko mabangi ita mr. matiangi
noma ni kwa mangiayi wewe kuku mayai
jogoo road pale ? hapo ndio utaniwahi
kujeni na ex w-ngu bado hamskii hamwezi niwahi
noma ni mi’ baba tracy
noma ni mi’ baba zara
noma ni mi’ baba fredi flacko wakiniona wana-holler
noma ni baba malcom x madame wananidara
noma ni uliokoka
noma ni niko mogoka
[chorus]
noma ni mi’ kwa maganji
noma ni we’ ni mtiaji
noma ni niko magadi
noma ni niko bacardi
noma ni mi’ ni refugee lakini saa hii joh siko kwa kambi
noma ni very soon kikoroboi natoa kitambi
noma ni mi’ kwa maganji
noma ni we’ ni mtiaji
noma ni niko magadi
noma ni niko bacardi
noma ni mi’ ni refugee lakini saa hii joh siko kwa kambi
noma ni very soon kikoroboi natoa kitambi
[verse 2]
pizzo the king and you know it (you know it)
pizzo the king and you know it (you know it)
everything i rap about better believe i own it (own it)
kila nguo mi’ hudunga bana better believe i bought it(bought it)
muziki ni ndondi boxing
after chrisi ni boxing
mayweather nikiingia kwa ring ma-punch line hazikosi
walianza mwaka na pupa
mi’ kwa hosi nime-chill tu ’cause
i’m sick and you know it (you know it)
i’m a d-ck come blow it (blow it)
superstar i’m blowing (get it get it get it)
neck freeze i’m snowing
hizo chocha za ku-rap faster buda joh come slowly (slowly)
niki-spit ebola (ebola)
kwenye street mi’ baller (baller)
nawaacha na mixed feelings bana wamekuwa bipolar (polar)
we shillingi mi’ dollars (dollars)
we shati mi’ collars
wali-try kuni-call lakini sipatikani truecaller
a a a a a a kila subject ni a
e e e e e e kila ndai ni e-cl-ss
mwaga tei kwa hii gl-ss
funga bao na hii p-ss
[chorus]
noma ni mi’ kwa maganji
noma ni we’ ni mtiaji
noma ni niko magadi
noma ni niko bacardi
noma ni mi’ ni refugee lakini saa hii joh siko kwa kambi
noma ni very soon kikoroboi natoa kitambi
noma ni mi’ kwa maganji
noma ni we’ ni mtiaji
noma ni niko magadi
noma ni niko bacardi
noma ni mi’ si refugee lakini saa hii bana siko kwa kambi
noma ni very soon kikoroboi natoa kitambi
[verse 3]
nomare three comas kwa salare
nomare watu wa hii shule bila basare
nomare relationship niliachia ?
nomare new york ndio mi’ hupeleka mahare (hey)
‘na cook up mi’ mpishi
wana look up nikidishi
ki e-sir hamnitishi
na tena hamnilishi
niliwapeleka kaburini so wanajua ni mazishi
na kwa hio matanga yenu bana huskii bado tutadishi
king swing
bling clean
swagg mean
game will
na hawa ndio wata ni-copy ’cause boss mi’ ndio chopi
niche rap nianze kuimba bado hamniwezi
muache rap muanze kuiba afande hawa ni wezi
kwa street niko na choppa
kwa sky niko na chopper
compet-tion ni ya watu watatu – me, myself and i
we’ ka’ bado una-hate on octopizzo k!ll yourself and die
chorus
noma ni mi’ kwa maganji
noma ni we’ ni mtiaji
noma ni niko magadi
noma ni niko bakadi
home ni mi ni refugee lakini sai joh siko kwa kambi
noma ni very soon kikoroboi nadia kitambi
noma ni mi’ kwa maganji
noma ni we’ ni mtiaji
noma ni niko magadi
noma ni niko bakadi
home ni mi ni refugee lakini sai joh siko kwa kambi
noma ni very soon kikoroboi nadia kitambi
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu trilloksmoke - alive
- lirik lagu hikaru utada - kouya no ookami
- lirik lagu snova - conmigo
- lirik lagu vizija - zamisli svet...
- lirik lagu nella kharisma - sego bungkus
- lirik lagu black stone cherry - you got the blues
- lirik lagu the homereckers - piano s**t
- lirik lagu jaya - masattra kanniye
- lirik lagu maria idol - yang terbaik
- lirik lagu secret rendezvous - never out of fashion