lirik lagu octopizzo - kibanda
check check check check check check
pizzo de! yo yo
niko kwa kibanda
kangeta taxin daily niko handas
nane ngori pizzo mana badman
zima moshi rada za nacada
marajane pass it napenda huyo dada
marajanae napenda wewe sana
nipate pale java niko jaba
chini ya woyes mamba kata waba
we ni artist basi msupa chora saba
picasso nikicheki dabas
campus wee ndio nangoja
yeyeye yee pizzo de
king and you you know it
ngati mngola tanasha dona
pizzo ni don man
chorea conman toka dodoma
ati dangote nabonya wote
usiogopeee
breko zangu zote kwa kibanda
matime lunch pia kwa kibanda
bachelor supper kwa kibanda
wasupa daily wote kwa streets nawahanda
breko zangu zote kwa kibanda
matime lunch pia kwa kibanda
bachelor supper kwa kibanda
wasupa daily wote kwa streets nawahandaa
sema bags zimestack up
msuper amеback up
najua hamjui mi hujua hizi vitu
najua hamjui hamjui mi huua hizi vitu
najua hamjui ntasumbua kila siku
now tell who when they comе with the realest
ready or not se we dont play
and if you really wanna know how we do this thing
let me tell you let me tell you one time
lete sima lete mboga lete nyama one time
halafu sasa jaza supu niwaoshe one time
jina yangu usitaje ukidai kuja jakes
rada rada za kifala sema kweli mi sijui
kama dishi iko poa basi jua sibagui
kuna warembo hatujui wamefunga buibui
hapa kazi nimefunga nikukula kama chui kang kang
kama chui kang kang
breko zangu zote kwa kibanda
matime lunch pia kwa kibanda
bachelor supper kwa kibanda
wasupa daily wote kwa streets nawahanda
yoyo zerro check it
mi upiga bizz ka ni sure
niko ju ya maji ka mashua
na ka ni shada mi unyonyaga na mapua
mi ni mkali zaidi ya pili hadi khali si ananijua
no crack pay anpiga sticki
ikus si tamu ka hai wiki
uski kajaba si kambereka kashiki
nipate ju ya kandovu kejani harufu ni ya iliki
attractive inavutia ma matha
ngoma uski ni mabaya kilimum uski utaipata
zzero mana badma shata
doshi nimewajizisha na yangu chuma wanaitaka
breko zangu zote kwa kibanda
matime lunch pia kwa kibanda
bachelor supper kwa kibanda
wasupa daily wote kwa streets nawahanda
8town
rada chafu rada chafu nikiguza weuweuwe!
aaaaa
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu wαng - takeshi
- lirik lagu sufle - her gün aynı şeyi yapıyorum
- lirik lagu king dah veed - pimp daddy
- lirik lagu chamomile and whiskey - impressions
- lirik lagu pink katana - sterne
- lirik lagu ektomorf - and the dead will walk
- lirik lagu the blonde gunner - country road ft. kidd g
- lirik lagu h.e.r. - hold us together
- lirik lagu mc 7kssio - breca novinha no grau
- lirik lagu grandma - growing up is strange