lirik lagu obby alpha - pigana na mungu
[instrumental intro]
welcome to the music surgery
[pre~chorus]
siwezi pigana nawe, nanyoosha mikono juu basi pigana na mungu
siwezi shindana nawe, nanyoosha mikono juu basi shindana na mungu
oh, shindana na mungu (shindana na mungu)
shindana na mungu (shindana na mungu)
basi pigana na mungu (pigana na mungu)
pigana na mungu (pigana na mungu)
oh
shindana na mungu (shindana na mungu)
shindana na mungu (shindana na mungu)
basi pigana na mungu (pigana na mungu)
pigana na mungu (pigana na mungu)
[verse 1: obby alpha]
hatakama vita nitapigana
ila ushindi atanishindia
yote si mapenzi yangu, bali ni mapenzi yake mungu
ukitamka laana, la baraka kanitamkia
yote si mapenzi yangu, bali ni mapenzi yake mungu
[hook 1]
maana uhai w~ngu mie
nimemkabidhi yeye
ukitaka kunigusa mie
unataka k~mgusa yeye
oh, ukinigusa kwa mema
atakubariki, atakubariki
ila ukitaka kwa mabaya
usishiriki, maana sio rahisi
[hook 2]
maana vita yangu, eh
si ya mwili bali ni ya rohoni
tena sipigani mimi, eh
anaye nipigania mwokozi
hivyo
[chorus]
siwezi pigana nawe, nanyoosha mikono juu basi pigana na mungu
siwezi shindana nawe, nanyoosha mikono juu basi shindana na mungu
oh, shindana na mungu (shindana na mungu)
shindana na mungu (shindana na mungu)
basi pigana na mungu (pigana na mungu)
pigana na mungu (pigana na mungu)
oh
shindana na mungu (shindana na mungu)
shindana na mungu (shindana na mungu)
basi pigana na mungu (pigana na mungu)
pigana na mungu (pigana na mungu)
ooh, yeah
[verse 2: guardian angel]
ukipigana na mimi, nikuachie mungu
basi jua yako, ‘imeenda
ukiwahi pigana na mimi, nikuachie mungu
basi jua yako, ‘imeenda
anaye niita ni mungu mwenyewe
mbona nipigane vita?, ah
aliye niita ni mungu mwenyewe
mbona nipigane vita?
maana vita vyangu
si vya mwili bali ni vya roho
and i don’t fight for myself
anaye nipigania mwokozi (hivyo)
ndio hivyo basi
anaye pigana, sipigani nae
namuachia mungu apambane nae
anaye shindana, sishindani nae
namuachia mungu apambane nae
anaye ni winda, si windani nae
namuachia mungu apambane nae
hey
namuachia mungu apambane nae
[hook 3]
maana vita yangu, eh
si ya mwili bali ni ya rohoni
tena sipigani mimi, eh
anaye nipigania mwokozi
hivyo
[post~chorus]
siwezi pigana nawe, nanyoosha mikono juu basi pigana na mungu
siwezi shindana nawe, nanyoosha mikono juu basi shindana na mungu
oh, shindana na mungu (shindana na mungu)
shindana na mungu (shindana na mungu)
basi pigana na mungu (pigana na mungu)
pigana na mungu (pigana na mungu)
oh
shindana na mungu (shindana na mungu)
shindana na mungu (shindana na mungu)
basi pigana na mungu (pigana na mungu)
pigana na mungu (pigana na mungu)
[instrumental outro]
oh~oh, pigana na mungu, ooh
the mixing doctor
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu estelle allen - music 2
- lirik lagu qwiza - fake news freestyle
- lirik lagu cassidy james - my friend jack
- lirik lagu miybro & starl!tt - empty hearts
- lirik lagu suzanne prentice - teddy bear song
- lirik lagu the irish brigade - this lovely land
- lirik lagu xaaxaa - yorugao ga warau
- lirik lagu fakemink - little
- lirik lagu solo fértil - ondas do mar
- lirik lagu schlont - don't get your hopes up