lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nyashinski - m.i.a (missing in action)

Loading...

[verse 1]
street smart
na too much charisma
big smile ukitoka session kwa humidor na this guy
najua hujai kuwa this hiiiigh!
nakushow kidole jamo unaona peace sign
mandala ameshikwa na makilo
masiri hutobolewa kwa pillow
naishi tu sinema iko na hero
i live it, unateswa na b~roll
up next: god willing
more success
less stress, more winning
kaa naflex, unaflex
no lift (no lift)
no tint (no tint)
no ceiling (ah!)
usiwaste time yako
hauskiangi kitu kali hivi, unless ni ya mine
nioneshe kitu kali hivi nichange my mind

[chorus]
i been missing
in action
nakupe
unanipe
tunapendanaaaaa
taratibu
ukizidisha uta’aribu
[verse 2]
ni g~nius, nawauzia
brand new flow nibuy
brand new socks and a brand new toy car
nairobi magossiper
wameaumua ukimake it we ni wash wash, ama devil worshipper
kuna time target ilikuwa kuhama ploti by nеw year’s
saa hii najua sisoti for a few years
yangu god ndio anamultiply
god willing float ikaе top hadi mwache kuwa curious (and beyond)
and beyond

[bridge]
ule ameoneshwa future aprophesy
ule hajaoneshwa kitu
mdomo ikae kimya
shhhhhhhh

[chorus]
i been missing
in action
nakupe
unanipe
tunapendanaaaaa
taratibu
ukizidisha utaharibu
taratibu
ukizidisha utaharibu
[outro]
umekuaje g~nius overnight?
naumejuaje nakuneed for advice?
all these years nimekuwa kwa mic
unamean sijakuwa nikiifanya right?
n~z~andikanga na left na zinaconnect
huwezi copy success, iko na price
wale wanacopy lines wana zi~recite
wanafaa kubark less vile wana bite


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...