
lirik lagu nyashinski - fresh
[verse 1]
niko ready kuona million dollars
namedi kando yangu unaona gari iko wax
already naona number iko na many commas
mwenyezi naomba legacy haiwezi collapse
maybe nakushow usikuwe stuck in the past
daily mnanik~mbushanga siezi watrust
deni inanik~mbushanga siezi relax
mshaskia marumor saa skieni mafacts
the more unajituma more digits
saa ya bill uwezi nikuta na fidget
unalipia kila minute
hizo vitu wanarap unajua shin done did it
[pre~chorus]
real life apa hakuna rehearsal
hatuifanyi twice so nishow bidiiyako
act kaa director ashasema, “action!”
na akisema, “cut!”
game over
[chorus]
ata off day mi hukuwa fresh
fresh, fresh
naachia offspring future set
set? set
on a bad day mi hukuwa threat
thrеat?
after success nini hukam next?
nеxt!
na naleave these fools perplexed
niko out here cashing checks
uh, sustained success
after success nini hukam next?
next? uh!
naachia offspring future set
si ati vibes mi tu naset!
after success nini hukam next?
[verse 2]
niko na mpenzi w~ngu mahali far
mahali hatuwezi fikiwa na makelele
rada saa kuona kaa akili zao zinamatch mdomo na kiherehere
kitu unadai niko nayo naunajua mr. right, mr. now
mistaki vigelele
unasema hutaki mini nyoe dredi
ata wafuge nati kuniclone haiwezi
narap ni kaa nina njaa 21, 31, 40 young
god willing nijionee mengi
nabaki safe ata table zikiturn
gode zangu zinaburn
payday after payday
[chorus]
ata off day mi hukuwa fresh
fresh, fresh
naachia offspring future set
set? set
on a bad day mi hukuwa threat
threat?
after success nini hukam next?
next!
na naleave these fools perplexed
niko out here cashing checks
uh, sustained success
after success nini hukam next?
next? uh!
naachia offspring future set
si ati vibes mi tu naset?
after success nini hukam next?
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu julien doré - fais-moi une place
- lirik lagu kxng eezy, dits (producer) & prodbywhites - rainclouds
- lirik lagu dj wich - choďte šeci do piče
- lirik lagu смоки мо (smoky mo) - я готов (скит) (i'm ready)
- lirik lagu warm dust - hole in the future
- lirik lagu turboluv - someone else
- lirik lagu aachen demon - kragen hoch
- lirik lagu souq - up now
- lirik lagu blóðvein - spider wings & suicide notes
- lirik lagu rg naz - top opp freestyle