lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nyashinski - bluff

Loading...

[chorus]
who does it better than us?
nishow, ndio nicall hiyo bluff
millionaire na nalia ni kutough
nikaa kuwa highest paid si enough
kila mtu anataka something
kila mtu anakuw~nga hunting
naombwa mapicha hadi church
hii sh~t hukuw~nga demanding
ndomana velani ni must

[verse 1]
first of all nashukuru god niko hai ye
superstar ndio maana sikuw~ngi outside
huh?
mini business utaniaddress vipolite
hii ni kismet hapa jo mambo vulai
nakubless unafurahi
nothing else unadai
nanavigate hizi streets
zimejaa mabeast
hawataniwai
maisha marefu ikunaize
i hope ufind ikigai
i hope ufind ikigai
[chorus]
who does it better than us?
nishow, ndio nicall hiyo bluff
millionaire na nalia ni kutough
nikaa kuwa highest paid si enough
kila mtu anataka something
kila mtu anakuw~nga hunting
naombwa mapicha hadi church
hii sh~t hukuw~nga demanding
man
ndomana velani ni must

[verse 2]
nataft maziws nipe familia
shamba nalima imejaa na watiaji
watu wazima inafaf kuwa clear
unakataa kusoma unaanguka mtihani
uko kwa process ya kuchanuliwa
unakataa kusaidiwa
unapata unaishiwa
una sahauliwa
usiharibu biasha
si unajua vile ku~enda
tukizoeana
ma~еgo ziugongana
kila mtu anajipend
ata kaa unajipenda
hatuaitoshana
mi najua vile ku~еnda tukizoeana
na mi hapana kijana
mi hapana shindana
[chorus]
who does it better than us?
nishow, ndio nicall hiyo bluff
millionaire na nalia ni kutough
nikaa kuwa highest paid si enough
kila mtu anataka something
kila mtu anakuw~nga hunting
naombwa mapicha hadi church
hii sh~t hukuw~nga demanding
man
ndomana velani ni must

[verse 3]
hii si easy win
hii ni hard work ju ya discipline
naona rapper aliisha ako bitter
anatweet “wasanii watalearn”
silly him!
calm down buda mi ni shin
been him since the beginning
niko homeground wako visiting
streets love me for real
truth hurts no penicillin
show ya mine ni production
nakujaje tour tena bile team?
najitoa line up inaisha steam
mi ndio headliner mzimbiting ha
fans wanaitisha marefund
mnacheza pr kama gina din
wanatry kunimaliza wanapata
chances zao ziko really slim
aibu kwao mi ni msharp na sijali
wananidiscuss kwa magroups
za whatsapp, hawalali
wananisneak diss kwa macaption zao
but of course hawanitaji
ngoma inaslap na si tafadhali
hata kaa hawataki bado wanakubali
unaskiza g.o.a.t
taste yako ni mbaya kaa bado unargue
naambia account yangu “i love you”
najua sauti yangu ina value
mtanijengea mahali kistatue
[outro]
who does it better than us?


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...