lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nviiri the storyteller - niko sawa

Loading...

[intro: nviiri the storyteller]
(ohh, mmh)
ohh
what a waste
oh, lord
the storyteller, ayy

[verse 1: nviiri the storyteller]
what a waste
baby tumejiseti, we on the highway
tukafunga breki, tukaanza bishana
asking, “who is diana? vipi mnajuana?”
i swear tumeji~betray, baby tumejiseti
’cause love isn’t here right now
i guess we’ll never know (never know)
mahali hii story ingeenda

[pre~chorus: nviiri the storyteller]
(tulichoanza) kuja tumalize
(kinachokwaza) baby, ziandike
(punguza drama) baby, zitushike
(washa kishada)

[chorus: bien~aimé baraza]
i don’t wanna argue, ka uko sawa, mi niko sawa
ka uko sawa, mi niko sawa
aki zile vitu tulipanga
ukanishukisha namba
najua una~miss hii kitanda
vile visa na visanga
aki zile vitu tulifanya
kabla ubadilishe namba
[verse 2: bien~aimé baraza]
bado we husemanga mi ni psycho
bado mi hupiganga simu yako
nili~delete~ingi namba yako
lakini naik~mbukanga kwa moyo, yo
and i just can’t explain
thoughts of you and me keep going up and down in my brain
and you were looking for somе love, didn’t care for the famе
i was looking for a good time, playing the game, yeah, ah
and now you stuck on my name
moving in together, baby, it was never the same
oh, it’s such a shame, kila saa tunagombana
lini tutaelewana? yeah

[pre~chorus: nviiri the storyteller]
(tulichoanza) kuja tumalize
(kinachokwaza) baby, ziandike
(punguza drama) baby, zitushike
(washa kishada)

[chorus: bien~aimé baraza]
i don’t wanna argue, ka uko sawa, mi niko sawa
ka uko sawa, niko sawa
aki zile vitu tulipanga
ukanishukisha namba
najua una~miss hii kitanda
vile visa na visanga
aki zile vitu tulifanya
kabla ubadilishe namba
[outro: bien~aimé baraza]
i don’t wanna argue, ka uko sawa, mi niko sawa
ka uko sawa, mi niko sawa
aki zile vitu tulipanga
ukanishukisha namba
najua una~miss hii kitanda
vile visa na visanga
aki zile vitu tulifanya
kabla ubadilishe namba


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...