lirik lagu nviiri the storyteller - bwana sherehe
[intro]
so fresh is on the beat
[chorus]
mimi si bwana yako, mi ni bwana sherehe
mi ni bwana sherehe
mi ni bwana sherehe
mimi si bwana yako, mi ni bwana sherehe
mi ni bwana sherehe
mi ni bwana sherehe
[post~chorus]
tingika, tingika kama unaweza tingika
vunjika, vunjika kama unaweza vunjika
mwagika, mwagika kama unaweza mwagika
tingika, tingika kama unaweza tingika
vunjika, vunjika kama unaweza vunjika
mwagika, mwagika kama unaweza mwagika
[verse 2]
i like to drink and i like to party
two nights sijaonana na blanketi
na sasa ninaona sunset ya monday
i thought you told me it’s your birthday
hatujuangi shida ya budget
sidhani itakua private
[pre~chorus]
i’m always feeling nice, always feeling nice
i’m always feeling nice
nikiwa sherehe, nikiwa sherehе
i’m always feeling nice, always feeling nice
always feeling nice, nikiwa shеrehe
[chorus]
mimi si bwana yako, mi ni bwana sherehe
mi ni bwana sherehe
mi ni bwana sherehe
mimi si bwana yako, mi ni bwana sherehe
mi ni bwana sherehe
mi ni bwana sherehe
[post~chorus]
tingika, tingika kama unaweza tingika
vunjika, vunjika kama unaweza vunjika
mwagika, mwagika kama unaweza mwagika
tingika, tingika kama unaweza tingika
vunjika, vunjika kama unaweza vunjika
mwagika, mwagika kama unaweza mwagika
[verse 3]
niko na tatiana, rukiana, riana shape ya rihanna
tumejipata wote tukikatiana ooh
maisha ya kistaa
maisha ya kistaarabu
niliunderstand the assignment
universal alignment
[pre~chorus]
i’m always feeling
niko kwa mawingu, feeling so high nice
nikiwa sherehe, i’m always feeling nice
niko kwa mawingu nice, feeling so high nice
nikiwa sherehe
[chorus]
mimi si bwana yako, mi ni bwana sherehe
mi ni bwana sherehe
mi ni bwana sherehe
mimi si bwana yako, mi ni bwana sherehe
mi ni bwana sherehe
mi ni bwana sherehe
[post~chorus]
tingika, tingika kama unaweza tingika
vunjika, vunjika kama unaweza vunjika
mwagika, mwagika kama unaweza mwagika
tingika, tingika kama unaweza tingika
vunjika, vunjika kama unaweza vunjika
mwagika, mwagika kama unaweza mwagika
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu وائل كفوري - wailk mn allah - ويلك من الله - wael kfoury
- lirik lagu fariana & dekko - kily
- lirik lagu orion sisters - feel it too
- lirik lagu vapeclub archive - skauda
- lirik lagu nepal death - shooting star
- lirik lagu peach mark - только с тобой (only with you)
- lirik lagu grinchez - revelation
- lirik lagu kanon - make you…
- lirik lagu so87 - want me too!
- lirik lagu the anix - disarm