lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nikki wa pili - nje ya box

Loading...

house of music a city in tha house
mpeleke joh makini nikki wa pili wara wara
mpeleke nje nje nje ya k-mi na nane
nje ya k-mi na nane
mpeleke nje nje nje ya k-mi na nane

(verse1: niki wa pili)
mungu nijalie demu mpenda pesa
kila siku nipigane kuwa bakhresa
asinipende mimi apende verosa
wanaomegewa wengi ndio kitu wamekosa
malighafi ya suruali si boxer
siri nyingi mahali dingi alikosa
demu wa shida na raha na misoto sana
huyo demu hanifai changamoto hana
ikiwa demu wako anapenda vidogo
uwezi kuwa na vingi na kuwa kigogo
demu amsifie sana bosi w-ngu
nikasirike kesho nijenge kiwanda changu
sitaki demu wa kitanga jioni moja kanga
tayari amejipanga kwa mabusu mangapi
demu nayemtaka manka wa kichaga jioni anaulizaga umeingiza shingapi

(chorus: g –nako)
mpeleke nje nje nje nje ya k-mi nane
nje nje nje nje ya k-mi na nane
mpeleke nje nje nje nje nje nje ya box nje ya box
nje ya k-mi na nane

(verse2: joh makini)
namtoa nje ya box ndio nampe cha ndani ya boxer
aulizie ferrari jo ni kitu gani verosa
demu boda boda kwenye bajaj anasinzia
itaua kipaji na uwezo kufikiria
asinipende kama joh anipende kama star
super kabisa ile gumzo ya kitaa
hili nikaze asinilemaze nikadumaa
sio demu anayehitaji kuwa na ndoa
bali mwanamke anayehitaji mahitaji ya ndoa
na sheria mikononi simpigi demu
nachukua sheria kiunoni joh me k!llin them
asiyefanya kazi na asile ndio neno lenye uhai
asishike neno ashike maneno yenye maslahi
my lips don’t shy when yo hips don’t lie
sio gifti, shopping, lifti, vocha, chips mayai
demu cheap me hanifai
habari gani afanye niwaze milioni
k-mwhonga laki mbili tatizo nisione
flow na mdundo ni mapene ya mweusi n
sio miaka thelethini na tano driving school
hapendi mimi niendeshe magari mazuri yea that’s cool

(chorus: g –nako)
mpeleke nje nje nje nje ya k-mi nane
nje nje nje nje ya k-mi na nane
mpeleke nje nje nje nje nje nje ya box nje ya box
nje ya k-mi na nane


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...