lirik lagu nikki mbishi - sorry j.k.
[chorus]
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku~miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku~miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
[verse 1]
yeah, i’m sorry j.k
nimeona tu niseme, mzuka huu niliupata nikiwa juu ‘kijenge
mikopo hakuna tena, huendi chuo kikuu kizembe (uh~huh)
bungeni w~n~lewa, wanabonga tu king’eng’e
wakitw~nga, wanatamba
wakisanda, wanatubu
simuoni tena jay tangu akutane na sugu
scorpion amegeuka ghost face mwema
aliyeota rais atakufa anaitwa godbless lema
r.c. na wasafi, uswazi ma~defender
hapa kazi tu, mtaani njaa kali sio sinema
ka kuisoma tushaisoma namba
ungegombea awamu ya tatu, ungekuwa bora labda
[chorus]
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku~miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku~miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
[verse 2]
ilianza bibi cheka, wengi walikuita babu cheka
hawakujua kua nyakati zinakuja na kusepa
ulivunga wa kibeza kuwa unapenda sana bata
na kiki ka makonda za wasafi kuwafata
wabongo watak~mbuka kwenye sekta ya michezo
mpaka taifa stars (?) nayo ikaonyesha mauwezo
ukaongeza vigezo, nyenzo, matengenezo
leo samatta ndio kinara na hachezi soka la dezo
tuzungumze magazeti (yeah)
bunge wana~edit
hakuna mikakati bwana, k~mbe wana~act
demokrasia, demo~ghasia za field~force
wengi wanahofia ukweli kuwaambia, unju siogopi
ma~benki yanafilisika, madeni yanamiminika
hali imekuwa ngumu hadi wageni wanasikitika
(?)
yaani sio fresh, inatisha
bar mwisho saa sita, sikuhizi hatukeshi kabisa
[chorus]
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku~miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku~miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
[verse 3]
kila taarifa ya habari leo (?)
pesa imepotea kimazingara ‘david blaine
waathirika hawaelewi juu ya mipango ya bukoba
tetemeko ‘wasije kula michango ya msoga
tumekosa, si tupe laana correct (uh~huh)
weka kando chama, tuwe wana~connect
hela imefichwa nyuma ya pazia la viwanda
[njoo?], uone tanzania ya vibanda
uone chafu moja na askari mia wakisanda
chocho za panya~road, mixer pwia, lami, ganja
kuna nyakati niliku~diss j.k
now, i’m calling for the peace, d~mn
we miss j.k
[chorus]
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku~miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku~miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu עומר אדם - rak shelach - רק שלך - omer adam
- lirik lagu rojuu - la matriarca
- lirik lagu kyle brew - fast, free, no stress, easy
- lirik lagu attanos - a beleza
- lirik lagu punishment test - god in the machine
- lirik lagu jamil, vacca - una vita sola
- lirik lagu saint levant - deira
- lirik lagu kenny chesney - blame it on the salt
- lirik lagu kailane frauches - passa lá em casa jesus
- lirik lagu malie donn - dragga