lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu nikki mbishi - maji ni uhai

Loading...

[intro]
uh, unju
wa miujiza kwenye beat
uh

[verse 1]
hisia za nyerere ‘butiama
uko single?
tafuta ambaye mnavutiana
mapenzi nikutiana~, moyo
bata ku spend, kuchukiana “these hoes and loyal”
punguza jazba, bwaga moyo ‘wachumba wako nasty kwa steji wanamwaga nyoro
industry imejaa wachoyo, machawa na makolo ‘mbwiga
acheni ng’ada vuteni wida ‘message sent
juu ya mdundo wa uno ‘so meseni nicheki
unju nukta mwisho wa sentensi
uh~huh
na hii ndio maana rais obama halafu gaidi osama
kwenda feki wanasema kukaba soko
msanii ana stress ‘meneja uko bar na totoz
nawapa chapa za moto kesi pccb ya china, cctv
vina si visikii, uh
ukiulizwa nafanya hit song, naleta kossovo ndanda chitoto ping~pong
mpaka korea kaskazini kwa kim~jong
naumia kujua kuwa chiddy vitz ndio yule king kong
[chorus]
maji ni uhai ‘lakini ukizama baharini unakufa
maji ni uhai ‘lakini ukizama baharini unakufa
maji ni uhai ‘lakini ukizama baharini unakufa
maji ni uhai ‘lakini ukizama baharini unakufa
maji ni uhai ‘lakini ukizama baharini unakufa

[verse 2]
niko back~stage ‘mi na warm up
sober na soda na donut kwa kona
promota na perfomer, reporter nakusoma
wote wako high wana moka na kunyonya
okoka na kuponywa, ropoka na kuona
urekebishaji ‘toboka na kushona
maradona, soka ‘mara kala kona chopa
alianza akiwa choka ghalfa mara mbona lofa
mic na beat ni mkate na divai, karibu kwenye karamu
vichache havifai
vichache havifai
labda viwe vya msingi kama jiwe kwa mzinzi
au heshima kwa ushindi
ukini copy nakuzima kama mhindi
mi ni boss kwenye rap, na unikosi kwenye map
unapoteza muda kwa ku chat na ma ghosty wa snapchat
haujifunzi kitu
man, you are f~cked up
[chorus]
maji ni uhai ‘lakini ukizama baharini unakufa
maji ni uhai ‘lakini ukizama baharini unakufa
maji ni uhai ‘lakini ukizama baharini unakufa
maji ni uhai ‘lakini ukizama baharini unakufa
maji ni uhai ‘lakini ukizama baharini unakufa

[verse 3]
naishi na makarao
nikki mbishi madharau ‘baada ya geez mabovu na diss nasahau
uliza ney wewe
unju ni la kuchumpa, usiingie kwa pupa ‘uliza bei wewe
g~y wewe ‘umesahau jinsia
kitaani unaitwa omari huku unajiita cynthia
nasinzia nikikuwaza ‘nameless
sista~doo sinakukatia nikikukaza? you’re brainless
hata sijui naitwa nani, unju
natokea taifa gani? bongo ‘ni lazima kutumika
wazee wa nusu nusu wamebaki nusu lita
na kuhusu kunusurika hilo suala wasahau
hivi we ni dogo hamidu au leo bow wow
unju [bahao kale] ‘mwenyezi mungu siku ya kiama
nakuomba usimsahau babu tale

[chorus]
maji ni uhai ‘lakini ukizama baharini unakufa
maji ni uhai ‘lakini ukizama baharini unakufa
maji ni uhai ‘lakini ukizama baharini unakufa
maji ni uhai ‘lakini ukizama baharini unakufa
maji ni uhai ‘lakini ukizama baharini unakufa

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...