lirik lagu ngwair - war kitaa
[intro]
cowbama
cowbama
cowbama
woo!
ha, ni cowbama
ba~babuu wa kitaa
yeah, marco~chali
m.j. baby
holla
cowbama
cowbama
cowbama
yeah, ch~ch~, yeah, hey, hey i mean
[chorus]
[drop]
[verse 1: ngwair]
yo, sim~simmer ‘huu sio muziki wa kupima
who am i? ‘jembe, nalima
kitu gani sina? (uh~huh, yeah)
vocal au vina? (uh~huh)
jina?, hata heshima, sio beamer
mi na hasira ila nime chill out (what?)
ndoto zangu kuja kuishi kwenye villa, ‘ila
kuna wajinga ndio wanataka eti k~mshusha huyu mr (cowboy)
hawajui cowbama ndio surname ya freestyle (haha)
sa vipi watoto wadogo wanataka kupima hizi level?
nawak~mbusha “please don’t ~~~~ with the devil
[walio (?) remix, n~gga ni rap]
hata mungu anaweza abudiwa kwa hip~hop
mbona haiuzi?, kivipi isiniuze (uh~huh)
mi nakaza nyuzi (yeah)
wewe kama haikulipi, ni mpuuzi
na east zoo wanaamini king ndio mimi
nnaye wafanya waka~dance kwenye hall ka (?)
a.k.a mimi
(ngwair)
[chorus: drop]
cowbama
wa kitaa
marco~chali, m.j
freaky
[verse 2: babuu]
full ma~d~ckies, ma~converse
ma~khaki, haunitaki, mimi ni gangster haunikuti mchafu
full niko smart, nime nyuti
mitaa ya kati, mi nausaka mnoti
haunikuti nime~ceasе, muda wote macho wazi
natokea uswazi, so usiniletе makuzi
mi ni gangster, n~gga
ila mpole kama twiga
kama unajifanya umepinda, unaiga
mi nakuona mbwiga, wewe uta~dead
kwenye beach kama long, mwisho wa club, tuna bang
bang!
nanoga kwa sana, sina usiku wala mchana
kichwani ma~bandana kama juelz santana
nawakilisha kwa sana na ndio maana mi nachana
ile ki~gangster
mwana, wanadata hadi wasichana
magumashi yanaendelea kitaani, babu mi ndio meya
mperampera na mamwela kitaani ninapo tokea
what?
mi ni gangster, n~gga
[chorus]
[verse 3: ngwair]
ka we ni snitch basi kmamaako ‘kaa mbali
haters juu ya beat ya marco nawaacha chali
wanatupimia hapa nasi tushajiona mbali
kama un~z~ma kwa bapa, basi usiwape misumari
studio kama kwa jay (uh~huh)
daily niko salama
ku~hustle ni everyday, kesho zaidi ya jana
ni ngwair wa east zoo na babuu wa kitaa
yeah (?) dupper zaidi ya mastaa
ndani ya jiji la dar, ndio tunavyoishi
[haina bwebwe] nakushangaa, ndio zetu wabishi
hatakama hatuna cash, fresh
mpango wa kuwaka (?) sio deni, sio kesi
[chorus]
[outro: drop]
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu charity archie - drown
- lirik lagu fito y fitipaldis & andrés calamaro - a los ojos
- lirik lagu decadon & fransis derelle - light
- lirik lagu 四葉環, 逢坂壮五 & 七瀬陸 (tamaki yotsuba, sogo osaka & riku nanase) - crescendo
- lirik lagu kennsomuch - lurking
- lirik lagu marcella bella - ti mangerei
- lirik lagu upsidedwnwolf065 - good shit
- lirik lagu kollegah - sigma
- lirik lagu ej michels - evergreen
- lirik lagu ynkeumalice - traumatized