lirik lagu ngwair - speed 120
[intro]
yeah
cow~obama
na chid benz
(yeah)
na east zoo y’all
ch~ch~ch~ch~chemba squad ya’ll
yeah
ni kama kawa records
(woo!)
ngwair, yeah
i see you, baby
jof master
holla, yeah
[chorus]
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
[verse 1: ngwair]
yo, ngwair ‘ni albert a.k.a. ngwair
unajua simple man
(simple man)
si bitozi, sio brotherman
(yeah)
nasisitiza hii hip~hop sio ubishoo
na nnapofanya show ‘kazi yangu ni ku~flow
usishangae nisipo panda na ma~stage show
waulize hao mabitozi kujipodoa hawaoni soo?
mwishowe watakata viuno stejini ka ray~c
au watakuja kuiga hata (?) lady jaydee
tun~z~miwa na mademu wengi, j~po hawatupendi
au labda kisa hatupigi show na live band?
hip~hop ni [drop]
sio gita ni dj
(yes, yes, y’all)
na tuna rock away, ‘na nna spit kama wiper
(uh)
moto kama lighter, a.k.a. piper
(what?)
niite titan, najua unaniona tozi ila mi ni bonge la msela
sema mwenye nyota ya staa, na of course na hela
unataka ujifanye gangster huku mtoto wa kishua
(yeah)
life yenyewe ya mtaa hujaijua, un~z~ngua
tunakamua ile ile mia ishirini babaake
(kwenye kona wafunge mkanda, eh?)
haha, yeah ndio maanake, haha
(holla)
cha msingi ni ku~make more dough
piga deal yeyote sio lazima uwe ku~flow
oh, oh, oh, oh~no
ni sawa unakamata kicheche afu ukakosa condom, hiyo ni soo
[chorus]
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
uh, yeah
haha
big boss, big boss, ‘takin over, uh
la familia
[verse 2: chid benz]
nipe dough, nikupe flow
huu ukali zaidi ya before
slow~slow, taratibu, ‘wanao feki wana~blow
baa!
(baa!)
alberto pembeni na chid’ 120 na mashine tunada~
ch~ch~ch~ch~chyeah
mikato ina matter tu, na nata kamata tu, wanadata nawakamata, siishiwi nawapa [doo]
mpaka [walio (?) rap] wanashangaa
wananunua madini, nilipo kaa mi ‘yamezagaa
life langu liko simple, siweki vioo ‘unione ndani
na ndio maana naweza vaa suti, nikanukia majani
kidogo nnacho pata naridhika, sina tamaa’
na gangamaa, sio mshuma nizime huku nimesinyaa, ah
na roho safi kama moyo wa shujaa
mola anaye linda kwa kila jema na kila baya
washkaji wamenitupa, huku ubingwa nnao mimi
enzi kabla sijautwaa ‘mtetezi nilikuwa mimi
nina nguvu za kutosha, bora uwezo sio bling
hata tippo ana brand nembo yangu ‘mi ndio king
mi ndio~, uh, uh, uh
(nina nguvu za kutosha, nguvu za kutosha)
hata tippo ana brand nembo yangu ‘mi ndio king
baa!
[chorus]
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
[verse 3: ngwair]
yeah, ngwair
yeah, kuna wengine kwenye game kifupi ndio washapotea
ushaambiwa usiyaguse maji kama huwezi kuogelea
cheki wanavyo tapa, tapa ‘hawana pakutokea
wameishiwa cha kuongea, wamebaki k~m~diss ngwair
ila kipaji changu sio kicheche ‘tunacho~share
na hata nikifa leo, pengo langu halina spare
cause ‘mi ndio mi, na hatuwezi kuwa pea
so nageuka mac reagan nawaambia~
(“endelea”)
cause ‘mi mwenyewe downtown kitambo
nerve za jenerali labda we ndio mgambo
wazee wa speed, shaaa!
ni chemba na dark (?)
kila siku, sikukuu kama ya christmas na eid
no playa haters ‘wakizidi kuwaka,waka (woo!)
nawapa dole la kati, now go to h~ll mother~~~~~
kila pande ya dunia tun~z~di ku~represent ‘kwani
wajanja wote wana show full respect yaani
[chorus]
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu npobu - summer suicide
- lirik lagu jin & akiomi - 輝きの中で (kagayaki no naka de)
- lirik lagu sage x price - never enough
- lirik lagu curly strings - kadunud poeg
- lirik lagu ihylumi - bipolar
- lirik lagu bravoo hunnidz - bob the build type
- lirik lagu liw - que gosta
- lirik lagu self discovery - 7teenagain !
- lirik lagu jay5ive - if he knew me
- lirik lagu bars brothers - devil's rejects