lirik lagu ngwair - bonnie & clyde
[verse 1]
yo
warembo wako wengi kila kona kibao, ‘ila
kwako mi ‘siskii wala sioni kitu
unachotaka kw~ngu utapata
usiwe na shaka mi sintokuacha, naapa (i swear)
nakupenda na kamwe sintoku~diss na wala usikubali mtu yeyote akaku~mix, ma
napenda mng’ao wa laini zako lips (uh)
ndio maana full time huwa napenda kuzi~kiss (mwaah!)
na pia napenda mwendo wako wa ki~miss
yaani jinsi ‘unavyo zipeleka zako hips, uh
ukiwa ndani ya hiyo mini au jeans
kila nikuonapo mi napata uchizi
na hicho kijungu, haki ya mungu
kinavyo shake mi napatwa na kizunguzungu (woo!)
unavyo s~x jinsi ulivyo mwepesi
mtoto uliye umbika kila kona uko fresh
mi napenda jinsi unavyo vaa (uh~huh)
unavyo ng’aa
huko nyuma jinsi ulivyo jaa
kwa kifupi moyoni unanipa raha
usilete uzushi, ni wewe na mimi, ma
kwenye shida na raha (uh~huh)
mpenzi we vumilia (yeah)
na imani ipo siku ndoto zetu zitatimia
na mola atatujalia tu, familia yenye furaha
na watoto kadhaa kujivunia
holla!
[chorus]
yaani cowboy nimempata mama
ambaye ananijali kwenye shida na raha
mtoto ametulia wala hana tamaa
na amini ye ndio anayenifaa
(cowboy)
yaani cowboy nimempata mama (yeah)
ambaye ananijali kwenye shida na raha (shida na raha)
mtoto ametulia wala hana tamaa
na amini ye ndio anayenifaa
[verse 2]
mi niko zangu downtown (yeah)
ndio namuona huyu mchumba (uh~huh)
ilikuwa ni kama zali j~po nilikuwa nimeyumba (yeah)
sina gari
sina vumba (sina vum~)
acha nyumba, ah~ah
sina chumba
shahidi d~money (?) au b~dozen
mtoto huyu s~xy yaani zaidi ya [bin laden]
mwenyewe akakubali kujiachia na kachaa
nawashukuru hata home, wazazi hawak~mkataa
na tayari tushavishana pete za engangement
mambo yetu ya ndoa ndio yapo kwenye arrangements
ana sifa zote zakufaa kuitwa wife
no money, no problem ‘yeah ndo yetu life
haijalishi mi black, ye white ‘wote tunakula (@#$~)
na penzi letu liko tight, tight
nnavyo mzimia kwake i’m ready to die
mi naye ndio 07’ bonnie and clyde
[chorus]
yaani cowboy nimempata mama
ambaye ananijali kwenye shida na raha
mtoto ametulia wala hana tamaa
na amini ye ndio anayenifaa
(cowboy)
yaani cowboy nimempata mama (yeah)
ambaye ananijali kwenye shida na raha (shida na raha)
mtoto ametulia wala hana tamaa
na amini ye ndio anayenifaa
[verse 3]
toka tuwe pamoja
hauj~pita hata mwaka mmoja
w~nga wameshaanza kutunga hoja (uh~huh)
wengine washakufata na maneno ya umbea
eti “achana na ngwair, huyo player anakuchezea”
washakuja kw~ngu kuniambia, we ni changu eti mimi kuwa na wewe nahatarisha maisha yangu, uh
nikawaambia kuwa we ndio chaguo langu
na ‘sisi kuwa pamoja iliandikwa toka kwa mungu
na ‘visa na majungu vyao vilikuwepo shaka (yeah)
tuongeze mapenzi (uh~huh)
tufanye tunachotaka (okay)
njoo basi, unik~mbatie njoo basi
uni~kiss nikurudishie (uh~huh)
njoo basi nikulambe kama koni
kuanzia mgongoni, shingoni hadi masikioni
na kwenye nywele mpaka chini kwenye vidole
na ni raha tele, na mayowe sio kelele (yeah)
na kama nakuumiza (what?)
mpenzi basi pole (uh~huh)
na kama naenda kasi sema niende pole pole
kwani nnavyo kuhusudu bora unikate kidole
kuliko niwaachie mapedeshee wanipore
holla!
(instrumentals)
[chorus]
yaani cowboy nimempata mama
ambaye ananijali kwenye shida na raha
mtoto ametulia wala hana tamaa
na amini ye ndio anayenifaa
(cowboy)
yaani cowboy nimempata mama (yeah)
ambaye ananijali kwenye shida na raha (shida na raha)
mtoto ametulia wala hana tamaa
na amini ye ndio anayenifaa
(instrumentals)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu darko us - 5d
- lirik lagu winterhold - пока гаснут фонари (while the lights go out)
- lirik lagu ngwair - tz hustler
- lirik lagu zzztud - resisting
- lirik lagu paul raven - musical man
- lirik lagu diabolique - blood of summer
- lirik lagu diflord - это я угорал (i'm the one who stole it)
- lirik lagu batuhan kordel - uykumun güzeli
- lirik lagu katannah - co kdyby
- lirik lagu xanakin skywok & yung kage - march! (lofi remix)