lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu neva give up - life so hard but i need to fight

Loading...

mackd zo desandondos mt poul

life so hard but i need to fight
life so hard but i need to fight
life so hard but i need to fight

mackd zo….

life in getto imekua noma
nakama sinoma basi utakua nioma
wakati nilikua mtoi nilikua na dream zile noma
nilijua kwa life yangu nikisoma
nitakua loya
nisomwe kwa magazeti ka maranga
sai niko nai kazi nikutanga tanga
but oll in oll niwakati life ilizidi kuchenge
nakwa life nilikua najua
nita tembea na ragger
vitu zikachege
breaking news deily ikakua nicorona
social distance ika meck kua hora
mse akikuhona unakohoa ahora
sai nikija kwa duka yako siezi kwachia hata change
simimi nilife kua noma

desandondos……..

life so hard but i need to fight
life so hard but i need to fight
life so hard but i need to fight

mackd zo

juzi nimekua nadem anaitwa maria
wachana naule nilikua nakuambia
alinipeleka kilub nimununulie bia
akadai hata fear nita garamia
nakwamf~ko nimebaki 2namia
nika plan vеnye naeza kimbia
masikini nilibaki nalia
life ikizidi nitaamia bara
siwеzi shinda nai nikitangatanga
sitaki nipelekwe home siku yamatanga
mam najua bado unanipenda
that’s utanipata mask on
becouse i need to move on

desandondos

life so hard but i need to fight
life so hard but i need to fight
life so hard but i need to fight

mt key poul

eeh we live in that error , where society haijltuujui

wengi washapita kwa kero, zidisha mishe we muhuni

maisha majanga pia , inakutreat kama mode wa mao

sifa yake jasiri mia, wanaochiti waache waende zao

mtk toka tcity , na kwa hii verse sijifii

niko tu kinjiti , naongeza safii bidii

tuko mjini siku nzima, mask on zinashinda

, bado tuaombea uzima, na mkondo tunajipa

na imani aliye juu , hapa getto ndo mkuu

so me and you, tusieke zetu nafsii juu

uzembe unalemaza tambua

hii jembe ndo jikaze ebu kwatua

enywe life here nomaa aka!

but soon near tutaomoka

imekuwa kikwazo kusurvive

ehh we need to fight!


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...