lirik lagu neshry trapan - tutaona
(chorus x2)
unasema sitafika tutaona
boronja bro lakini dm sitasoma
sina kinyongo usijali me nilipona
unasema sitafika tutaona
unasema siezi pika tutaona
tutaona
tutaona
zoea hii sauti me ni donga
kwa hii mic ilibidi nimejibonga
(verse 1)
niliskia kilio saa hii nawapa muziki
rapper unanidiss na sauti ya kindiki
mio kama trio au sio hii ni riziki
kd ako kwa beat atakosaje kivipi?
no hard feelings but saa hii me sishikwi
nikipanda stage aura yangu ni ya ushindi
nimespit sana nikachomeka ulimi
nani kama mimi kama sio mimi?
(chorus x2)
unasema sitafika tutaona
boronja bro lakini dm sitasoma
sina kinyongo usijali me nilipona
unasema sitafika tutaona
unasema siezi pika tutaona
tutaona
tutaona
zoea hii sauti me ni donga
kwa hii mic ilibidi nimejibonga
(verse 2)
luku ni ya mnisa
luku bado fisa
shawryy ni kafisi lakini ni mkanisa
nilienda missing kurudi ni masifa
king wa ma hook dont compare me to simba
wengine hushangaa, vile naeza imba
buda unang’am? me sijali ka naringa
haters watahate nawashow middle finger
dem alinichase nikamdust na hii dinga
(chorus x2)
unasema sitafika tutaona
boronja bro lakini dm sitasoma
sina kinyongo usijali me nilipona
unasema sitafika tutaona
unasema siezi pika tutaona
tutaona
tutaona
zoеa hii sauti me ni donga
kwa hii mic ilibidi nimejibonga
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu creampolo - jestem chłopcem twoich marzeń (ft. remaster)
- lirik lagu morada - não há amor igual (ao vivo) [2021]
- lirik lagu siga vkarmane - ожидают (they're expecting)
- lirik lagu f.f.o (twn) - 多擠 (docchi)
- lirik lagu жанна агузарова (zhanna aguzarova) - верю я (remix 2003)
- lirik lagu tân binh toàn năng (show it all vietnam) - more n more
- lirik lagu vozes de aruanda - laços do sertão
- lirik lagu playerdois - pílula vermelha
- lirik lagu donavns - is this love?
- lirik lagu dj lethal skillz - nahwa al nawawi